Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,290
- 61,277
Tulikuja dunia hii hatuna kitu na tutaondoka hatuna kitu, hata uwe na mali kiasi gani, huu ni ukumbusho mzuri kwa wanao amini.
Sio lazima utoe hela kumsaidia mtu hata kumpa chakula anaehitaji, unakuta mtu anakula mahindi halafu maskini anamuomba anasema sina kwani ukimvunjia nusu utadhurika nini?
Tuwe wakarimu kwa wasiojiweza
Sio lazima utoe hela kumsaidia mtu hata kumpa chakula anaehitaji, unakuta mtu anakula mahindi halafu maskini anamuomba anasema sina kwani ukimvunjia nusu utadhurika nini?
Tuwe wakarimu kwa wasiojiweza