VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Mwanamke usijaribu kutafuta pesa kwa lengo la kushindana na mwanaume, Kumbuka kutafuta pesa kukabiliana na changamoto za maisha yako na kutatua shida zako mwenyewe bila kumtegemea mwanaume.
Kamwe huwezi kushindana na mwanaume maana huyo kaumbwa tofauti kabisaa na wewe, akikukosa wewe unaemkomoa kwa pesa zako atampata mwingine asiejua kumkomoa na atamueshimu kuliko wewe.
Mwanaume hakomolewi hata siku moja.
Kumbuka bila mwanaume hakuna mwanamke atakeitwa mama.