englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
Tiba kwani hujapitia hii?
Mkuu Utafiti, wakati nasoma kichwa changu kilikuwa kizuri sana tu. Nilikuwa nasoma maximum two hours then naenda kulala. Lakini kwenye paper, hawa waliokuwa wanakesha wala walikuwa hawanipati. Huwezi kulazimisha kuingiza mambo kwenye kichwa wakati ubongo umechoka.
Tiba