Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,063
- 11,109
Watu wanaenda bar kupiga moja baridi moja moyo kupata confidence ya kupambana na corona.
NAKUONA MKUU ADIMU SANA SIKU HIZI
Watu wanaenda bar kupiga moja baridi moja moro kupata confidence ya kupambana na corona.
Hiyo ndiyo sababu ya mtu mweusi kubaguliwa sasa,yaani ni kichwa cha mwendawazimu, yaani hajitambui na kujifanya kuwa anamjua Mungu kuliko Roma-Italy ambako wamepukutika kama nzige wakipigwa sumu!
AISEE PAMOJ SANA, HUYO JAMAA NAE KWA ADIMU SANA LABDA NI KAUGONJWA HAKA KANAZINGUA
Nikinywea nyumban hua naweza kumpa wife namba namwambia nimekuelewa nitafute asubuhi😂😂😂😂
Mkuu kila mtu na akili yake.Huku mitaani watu wanaendelea na mishe zao kama hakuna lolote vile.Ila binadamu sisi ni wa ajabu, ushatambua huu ugonjwa ni hatari, umeshuhudia watu walivyokufa kama nzi bado unasubiri uambiwe na kiongozi eti usifanye A B C.... kweli
Kama huwezi kujijali mwenyewe unategemea nani akujali?
AISEE PAMOJ SANA, HUYO JAMAA NAE KWA ADIMU SANA LABDA NI KAUGONJWA HAKA KANAZINGUA