Kumbi za harusi na ma-MC kulipa kodi

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Hiyo ni habari katika gazeti moja la leo na kama sikosei ni gazeti la TanzaniaDaima ndio limeandika habari hii.

Chanzo:Magazeti Channel 10

Na madalali nao wasajiliwe na kisha walipe kodi. Mfano ni wale wa pale Sinza-Kijiweni.
 
Hiyo ni habari katika gazeti moja la leo na kama sikosei ni gazeti la TanzaniaDaima ndio limeandika habari hii.

Chanzo:Magazeti Channel 10

Na madalali nao wasajiliwe na kisha walipe kodi. Mfano ni wale wa pale Sinza-Kijiweni.
Hili limechelewa sana, kumbi zinapata wateja every week na hivyo mapato yote lazima yalipiwe kodi, grace period is over
 
Naunga mkono hoja 100%. Haiwezekani sisi tulipe pesa ndefu kukodi kumbi halafu wao wasitozwe kodi ya zuio
Sasa wataongeza tena,ili wapate ya kulipia kodi,labda kama wataweka bei elekezi za kumbi mbalimbali ila wasipoweka wewe mlaji kwa maana mwenye sherehe ndo utalipa hiyo kodi.
 
Ukifanya biashara ya aina yoyote ya halali unatakiwa kulipa kodi. Hata ukahaba kama ungeruhusiwa ni lazima walipe. Unapokodi nyumba au chumba lazima upate risiti na kodi yake ilipwe. Hata ukinunua shares na ukapata faida.
 
Mtumiaji wa mwisho always ndio analipa kodi,mnafurahia lakini hao madalali na wenye ukiumbi wataongeza tu gharama na mtakua kodi mmelipia wenyewe mnaofurahia.
 
Back
Top Bottom