johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
- Thread starter
- #141
Ni sawa.Ngoja nikupe hesabu.
Jumla ya mkopo 1.3trillioni
Hizi ni sawa na 1,300billioni
Nusu ya hizi imetumika kulipa mkopo
Unabaki na bilioni 650
Toa bilioni 200 za zenji unabaki na bilioni 450.
Kwa hiyo zanzibar wamepata bilioni 200 na ushee.
Bara tumepata bilioni kama 400 hivi.
Hapa ni sawa kweli?
Zanzibar ni nchi kamili!