Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.
Kuna vitu vingi vya kushare lakini siyo mapenzi.
Yaani mi nimeona hapo tu 😛eep:

Ungemalizia kusoma mpaka mwisho ....
Hapo ndio umemaliza kila kitu........huko kwengine ni siasa tu.
Acha mambo yako, hivi siasa ni nin hasa kwenye MMU?
Wivu wa Mapenzi unauma asikuambie mtu... Speaking from experience....
ni kitu ambacho kama inawezekana kugawa kwa mtu wampa na mahela mengi hata mamilioni unatoa tu!
Nimejikuta nasema potelea mbali hata akimmega si na mimi ntakikuta provided that asimchukue jumla.
naomba unifafanuliw hapo kwenye red maana yake ni nini? nimeachwa njia panda.Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.