Kumbe watu wanatoka mbali sana

Kumbe watu wanatoka mbali sana

images
 
Watu tunatoka mbali sanaaa, wengi tukiangalia picha zetu za zamani na tulivyo sasa, tofauti. Wengine hadi aibu kuzionyesha kwa watu kwa jinsi muonekano wetu ulivyo sasa. Anyway, ndio maisha
 
Back
Top Bottom