Chama kimeshika hatamuPamoja na utawala wa mwendazake kutamatika,bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.
Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted,walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo,maeneo ya kwa Mathias kibaha,na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi,mkazi wa mtaa wa Bungo,mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.
Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.
Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao,lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.
Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.
#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.
Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
Angekuwa mmoja sawa,idadi imefika kumi wamenyakuliwa kwa style moja,kuna mmoja aliwauliza vipi mbona mnateka ndugu yangu,wakasema wao askari polisi,lakini hawakuwa kwenye uniform ya kazi,jamaa alipokomaa nao wakachomoa bisibisi kweny boda boda yake wakamwambia tutakuuwa acha kutifuatilia ikabidi jamaa akimbie. Hii hatari.Mmefungua kesi polisi? Mpelelezi wake anasemaje? Kama mpelelezi na yeye anakwepesha kwepesha basi ujue ni watu wasiojulikana kama anatoa ushirikiano katika kumtafuta basi jua kuna kitu kingine huyo jamaa yenu kawafanyia watu wengine.
Angekuwa mmoja sawa,idadi imefika kumi wamenyakuliwa kwa style moja,kuna mmoja aliwauliza vipi mbona mnateka ndugu yangu,wakasema wao askari polisi,lakini hawakuwa kwenye uniform ya kazi,jamaa alipokomaa nao wakachomoa bisibisi kweny boda boda yake wakamwambia tutakuuwa acha kutifuatilia ikabidi jamaa akimbie. Hii hatari.
Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likiongozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.
Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likion. N gozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.
Hao wote uliowataja angalao hata ripoti za uchunguzi au faili la Polisi lilifunguliwa. Na kwa mwandishi Mwangosi hata watu walifikishwa Mahakamani.Awamu yetu pendwa sana ya nne.
Ulimboka alingolewa meno kwa nyundo , kibanda kumwagiwa tindikali na mwandishi wa habari kuuwawa kwa kulipuliwa bomu tumboni.
Hayo ni moja wapo ya mafanikio ya awamu ya nne.
Sema pia ndio hao wa dhehebu hilo waliobize kuongoza vikundi vya kigaidi huko msumbijiPamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.
Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa Mathias Kibaha na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi, mkazi wa mtaa wa Bungo, mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.
Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.
Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao, lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.
Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.
#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
Usalama kwanini uteke wananchi,kwanini usitumie njia ya kiungwana na kuwakamata kama wana mashaka nao,ili familia zao ziweze kujua ndugu zao wamehifadhiwa wapi. Kinachofanyika ni kuzua taharuki pasi na sababu. Wananchi wakinyamaza ndiyo wamepotea kabisa,just imagine Mtanzania eti usalama ana mteka Mtanzania mwenzake raia halali,hii haingi akilini abadani
NAKAZIA.Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.
Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.