Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Last edited by a moderator:

kwa mujibu wa tafiti hiyo inawezekana kuwa hivyo yani,so beta uanze mapema kufanya hiyo research si chini ya 3 months ili upate uhakika zaidi yani
 
mie natizama tu wanavyonunuliana angels na HC

ngoja niweke dust bin kubwa bafuni, lile la matairi

 
Last edited by a moderator:
mie natizama tu wanavyonunuliana angels na HC

ngoja niweke dust bin kubwa bafuni, lile la matairi

Halafu mnapangiana zamu ya kuenda kuteketeza kwenye nini ile? Nimesahau kinglishi chake!
 
Itakuwa sawa na za The Boss kwa uhakika coz mudi zenyu hufanana. Akinuna kama kwenye avatar yake nawe unakuwa mkali mno hasa kwa wale wanaoleta sledi za kifomu tu bi! LOL

umeliona hili enh?manake na mi nilikuwa najiuliza inakuwajeeeee!kumbe tunapandaga apollo wote ahahahhahahhaha deliverance inakoleaje hapo!ahahhahahhahhaha The Boss a.k.a my apollo met!
 
Last edited by a moderator:
Ni bora kiitwe mwezini si eti eeh; it make a lot of sense ukizingatia kinahappen monthly.
shosti wangu leo mbona ngumi zitalika humu eti kumbe na vidonge vya majira hata wao wanaweza kunywa,japo vinafanya kazi kwa masaa tu ahahahahah hebu msome Mtambuzi tena kwenye uzi huu
 
Last edited by a moderator:

hahahhaaaaaaaaa hongera kwa kujitambua mapema hahahaaaaaaa
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…