Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kesho utasikia...ili mwanaume uishi maisha marefu inabidi ukikojoa uchuchumae... ukiuliza unaambiwa utafiti...
Imenifurahisha sana hii, ila ni ukweli. Siku hizi kuna elimu za ajabu ajabu. Unaweza ukasikia mtu anakuambia kwamba ukiwa unakula maembe 23 kila siku yaani 6 asubuhi, 10 mchana na 7 jioni hautaugua ugonjwa wowote maishani mwako...ukiuliza unaambiwa ni utafiti wa mambo ya tiba mbadala. Siku hizi tunaambiwa kuna maji yanatibu magonjwa yote...na maji hayo yanauzwa, si maji tu kama maji...sasa hapo ndipo hata kauli yako inapopata ukweli. Tatizo ni kwamba watanzania wengi hatuna uelewa mpana wa mambo ya kawaida, kwa hiyo wajanja wanapatiemo nafasi ya kutudanganya. Wanasoma soma google na vijitabu huku na kule halafu wanakuja na mameno mengi yenye vitisho. Lengo ni ku-instil mortal fear kwa watu wengi, kisha 'wanatoa' ufumbuzi...BUSINESS!
 
Kwahiyo hiyo habari unadhani inahusiana vipi na biashara?
 
MP.jpg

George Fellowes ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye umri wa miaka 22 na anaamni kwamba hata yeye hupatwa na ''hedhi ya kiume''.

Anasema kuwa ni rafiki wa karibu wa Amber May Ellis jirani yake na hivyobasi hupata uchungu wa hedhi kila mwezi rafikiye anapopata hedhi.

Uchungu huo anasema huwa mkali hadi kulazimika kuchukua likizo ya kuwa mgonjwa.Akizungumza na Newsbeat,George anaelezea:Nadhani ni swala la kifikra kwa sababu sisi ni marafiki wa karibu sana na tuna hisia sawa.

Katika kipindi cha miaka mitatu iliopita anasema kuwa amekuwa akipata uchungu wa hedhi na ishara hizo ni sawa na zile za wanawake.

Ninapata uchungu chini ya tumbo langu pamoja na katika kinena.Huwa nahisi vibaya na kuwa na hasira na marafiki wangu wengi.Pia huwa na hisia zenye mhemuko.

''Huwa sipendi kulia wakati huo lakini huwa na hasira nyingi.Kuna kitu kimoja kisichomuathiri George hatahivyo.

Sidhani kwamba wanaume wanaweza kupata hedhi bila kutokwa na damu'',anasema.

''Wakati unapokuwa rafiki wa karibu na mtu nadhani homoni zenu hufanana'
Chanzo: BBC
 
Mada hii ya kipumbavu za BBC bana
Kama kuwa karibu na mwanamke nawe unapata hedhi basi wanaume kwenye ndoa wangekuwa wa kwanza katika hilo
 
Nonsense! Wazungu wanatuona watu weusi ni easy to be cheated ndo maana wanazua vitu vya kijinga kutupumbuza akili, sasa kwa akili zako za kunyea kweli mwanaume anaweza kwnd hedhi? Biological nature gan? Kuna maswal mengne ukijiulza apa utaona huu ni upuuz
#they need for us to say, yes! and other insult criticism among us and they enjoy laughing us
 
Back
Top Bottom