Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Mtambuzi hedhi yako uwa ni lini na unaingia na dalili zipi? Maana ww ndio mleta mada!!
 
Hii ya hedhi kwa wanaume nayo imeniacha hoi

- Hutokea siku nne kila baada ya siku 28
- Wanakuwa na tabia kama zile za wanawake
- Walioweka dayari miezi 4 wamejua ukweli.

=========

 
😕😕mweeeh!! sasa hili gazeti ni la kufungiwa
Kwani kuna tatizo gani mpaka lifungiwe?
Mi naona sawa tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ni wanaume au jike dume...
Gazeti litutake radhi wanaume wote duniani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…