Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Nilikuwa nampango kuanzisha uzi kule jf doctors...kuhusu hedhi kwa wanaume.. Inshot iko hivi hedhi kwa wanaume ipo na inatokea baada ya siku 28,nakabla ya kuingia huwa ana hasira zisizo na sababu yoyote zaidi goggle(do man have period?) mimi nimeshindwa kuweka link..

Akili za hovyo kabisa..period na menstruation ni sawa??? nenda ukalale!!!
 
524507_278508482284069_972988370_n.jpg
 
akili za hovyo kabisa..period na menstruation ni sawa??? Nenda ukalale!!!
ok yawezekana kabisa mimi ndio nimecheka lakini kabla ya kunitukana ungetofautisha...kiongozi soma kwanza.... Nitake radhi kiongozi nina taalum japo kuwa ni ndogo
 
kuna mahali pia nilashosoma kua iko scientifically proved kua wanaume wanapata hedhi pia ila si hiyo ya hamu ya kugegeda, yenyewe ilistate kua kuna siku wanapata moods na kuact kama mwanamke kwenye hedhi ila hawatokwi damu

wanajichekesha chekesah hahaahah
Asprin
Mentor
Kaizer
 
Last edited by a moderator:
utafiti wako haujitoshelezi rudi tens jikoni ujenahoja na sample nying cyo pekeyako inawrzekana ni mgonjwa wewe
 
Hahahahahahaaaa. Hii ni kubwa kuliko. Week end oyeeeeeee.
 
Ni kaugunduzi nilikojifanyia mwenyewe, Of coz kuna kipindi najikuta Natamani sana kugegeda mpaka kila nayekutana naya namuona kifaa, na hapo nikimkamataga kuku, lazima atolewe manyoya kisawasawa, lakini kipindi kingine hamu huwa inasafiri kabisa hata kwa wiki mbili, na speed ya kugegeda inakuwa ya kobe, hebu wagegedaji tuweke uzoefu wetu hapa, Nawe huwa unapitia hivi vipindi? Si kielelezo kwamba hata men huwa tunaenda hedhi japo si lazima kuona Damu


CC utafiti

nina mashaka na uanaume wako hyo hedhi unaingia ww sisi wengne hatuna hyo POKofume bila shaka ww ni punga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom