Kumbe wanaotumia ARVs ni ngumu kuambukiza wengine

Ni asilimia chache kutoambukiza ila..HIV ipo pale pale

Sio kwamba ukimeza dawa muda mrefu huwez ambukiza wengine isipokuwa siku hiz unapew dawa zinaitwa PrEP,unameza halafu ndo unaenda kufanya ngono ni kama zinavubaza virus visikupate kwa urahisi.
O
Unless uwe carrier
 
Sasa km watu wananyanduana kwa mwaka mzima bila kuambukizana utasemaje sasa hapo?.
 
Siku hizi wanawake wanatumia vidonge/sindano Kama sehemu ya uzazi wa mpango,pamoja na madawa kibao

Kila mbunye unayokutana nayo Ina maji hiyo michubuko itatoka wapi,yaani zile mnato adimu kweli kumi kwa mmoja
 
Ndo nimesema kuna njia mbalimbali za watu kunyanduana na bado mkawa safe.
Mfano
Mhusika amemeza dawa za PrEP
Mhusika anatumia kondom
Mhusika ameenda hosptal akapewa counselling jinsi ya kufanya ngono na mtu mwenye HIV
Mhusika ni carrier
Hapo lazima uhakika wa kuwa salama utakuwepo
NB:UKIMWI bado unaambukizwa kwa njia ya kujamiaana na bado kinga yake ni kondom na kufanya ngono salama (wote Me and Ke mmpima na mko negative)
Tiba haipo ila ni kumeza ARV( Zidovudine na tenofovir)

wataalam bado hawajasema kama mtu aliyekunywa sana ARV hawezi kumwambukiza mtu
 
Mtu anaekunywa ARV’s na kufubaza wadudu ana usalama wa kutoambukiza wengine kwa 99%.

Zamani muathirika akifanya ngono bila condom na asiye muathirika alikua na haki ya kumshitaki kusheria kwasababu anaweza kumuambikiza.

Siku hizi kama unajijua umefubaza wadudu unaweza kuwa na mpenzi bila kumwambia hali yako. Ni lazima umfahamishe anaetaka kufunga ndoa na wewe.

Kundi lililo katika hatari ya maambukizi ni 40-60 years old. Hawa wengi wamefiwa na wenza na mara nyingi hawakumbuki kupima kwanza na hawajazoea condoms.
 
Siku hizi wanawake wanatumia vidonge/sindano Kama sehemu ya uzazi wa mpango,pamoja na madawa kibao

Kila mbunye unayokutana nayo Ina maji hiyo michubuko itatoka wapi,yaani zile mnato adimu kweli kumi kwa mmoja
Kwi!kwi!kwi!,eti mnato adimu
 
Mtu anaekunywa ARV’s na kufubaza wadudu ana usalama wa kutoambukiza wengine kwa 99%.

Zamani muathirika akifanya ngono bila condom na asiye muathirika alikua na haki ya kumshitaki kusheria kwasababu anaweza kumuambikiza.

Siku hizi kama unajijua umefubaza wadudu unaweza kuwa na mpenzi bila kumwambia hali yako. Ni lazima umfahamishe anaetaka kufunga ndoa na wewe.

Kundi kuliko katika hatari ya maambukizi ni 40-60 years old. Hawa wengi wamefiwa na wenza na mara nyingi hawakumbuki kupima kwanza na hawajazoea condoms.
Definitely
 
na mwili kushindwa kucontrol sukari mwilini.
unaweza kuwa hutumii sukari kabisa na ukakipata
na unaweza kuwa unajaza misukari kibao kwenye chai had wengine wanashindwa kunywa chai yako sababu ya sukari nyingi, na usipate kisukari
Nimekupata mkuu
 
Ndo nimesema kuna njia mbalimbali za watu kunyanduana na bado mkawa safe.
Mfano
Mhusika amemeza dawa za PrEP
Mhusika anatumia kondom
Mhusika ameenda hosptal akapewa counselling jinsi ya kufanya ngono na mtu mwenye HIV
Mhusika ni carrier
Hapo lazima uhakika wa kuwa salama utakuwepo
NB:UKIMWI bado unaambukizwa kwa njia ya kujamiaana na bado kinga yake ni kondom na kufanya ngono salama (wote Me and Ke mmpima na mko negative)
Tiba haipo ila ni kumeza ARV( Zidovudine na tenofovir)

wataalam bado hawajasema kama mtu aliyekunywa sana ARV hawezi kumwambukiza mtu
Wahusika ndio wanaleta ushuhuda wa hali jinsi ilivyo.
 
PrEp haifubazi wadudu bali inazuia virus kufanya maambukizi ma mpya. Inazuia cell receptors kupokea HIV virus na kuungana na body cells za asiye muathirika. ARV’s zinashindwa kupita kwenye cells nyingine ambako virus wanajificha. Ndiyo maana wanasayansi walikuja na wazo la dawa za kuwangisha huko waliko ili wakiamka wakutane na nguvu za ARV’s.

Wataalamu wanaamini kama maambukizi mapya yatapungua, walioathirika wakishaondoka duniani. Kutakua na kizazi kisicho na Ukimwi.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom