Kumbe wanaotumia ARVs ni ngumu kuambukiza wengine

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,331
14,259
IMG-20201201-WA0021.jpg
IMG-20201201-WA0023.jpg
IMG-20201201-WA0024.jpg

Wataalamu wa afya mje mtuthibitishie hili jambo.Inawezekana Elimu ya Afya wengi wetu bado hatujaipata.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Virus wanapita kupitia michubuko inayopatikana wakati wa kukutana kimwili endapo kati ya hao wawili ukiwa mmoja anavyo HIV virus
Hivyo kama unakutana na michubuko haikutokea uwezekano wa kupata HIV ni mdogo
Hizo habari wanaosema hao wa mitandao ni propaganda tu sasa jidanganye
asante mkuu kwa ufafanuzi.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli

Pia kisukari hakisababishwi na sukari ila ukikipata ndio unatakiwa usitumie sukari nyingi
Ni kweli
Pia kula Chumvi nyingi hakuzeeshi,ila kunaleta kiu kali tu.

Pia taa zilizo ndani ya magemu(video games)zinatumia umeme halisi
 
Bora nikae na mawazo kuwa nkisex na muathirika bc lazima aniambukize kuliko kujiaminisha upumbavu huu ety hawezi kuniambukiza ukimwi mana mwisho wa siku ntalia mwenyew
 
Virus wanapita kupitia michubuko inayopatikana wakati wa kukutana kimwili endapo kati ya hao wawili ukiwa mmoja anavyo HIV virus
Hivyo kama unakutana na michubuko haikutokea uwezekano wa kupata HIV ni mdogo
Hizo habari wanaosema hao wa mitandao ni propaganda tu sasa jidanganye
Kwa hiyo wewe ndio kirusi mwenyewe unaongea hapa?
 
Hilo liko waZi na ni valid kitaalamu ila haliwi promoted in public maana kuna wapuuzi wachache wata take advantage, ila ukiwa una maambukizi na una mwenza wako mkienda clinic mtapata darsa hilo!
Ok!!!,Nashukuru kwa somo zuri.
 
Bora nikae na mawazo kuwa nkisex na muathirika bc lazima aniambukize kuliko kujiaminisha upumbavu huu ety hawezi kuniambukiza ukimwi mana mwisho wa siku ntalia mwenyew
Lengo hapa si kujiaminisha Ila ni kupeana elimu ili kuongeza uelewa na hivyo kupunguza unyanyapaa.
 
Back
Top Bottom