Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,736
Hapo anajiona boonge la mjanja na ndo akili za walimu wakuu wengi zipo hivi mfyuuuuTena pole kubwa.

kwa akili hizi na hiyo roho mbaya nafikiria kuamini kuwa hata huo "u head ticha" ulipewa kwa kutoa rushwa,tena rushwa ya wuchi...hela yao we inakuuma kama yako vile.nyambafuHabari za kazi wana JF,
Leo katika pilika zangu za ujenzi wa taifa kama mwl. Mkuu nikapita ofisini kwa walimu wenzangu kuwasabahi kama ilivyo dada.
Mwl mmoja akasema mkuu unaonaje kabla ya kufunga Ijumaa sisi walimu wote tukajumuika na wenzi wetu tukasherekea kumaliza mwaka wa masomo salama? nikamjibu haiwezekani! Kwa gharama ya nani?
Akasema watachangisha mchango kila mtu elfu 50 nikasema hapana ile namaliza kujibu walimu wote wameinuka nakunishambulia kwa maneno, ooh mkuu acha ubahili, unatubania riziki watu tunastress tunataka tukatoe stress na maneno mengine kibao.
Wakaanza wachaga bwana ubahili umewazidi, nikawaambia kama mnatakuorganize fanyieni nje ya eneo la shule na chochote kitakachotokea sitawajibika juu yenu.
Hawakuamini majibu niliyoyatoa mwalimu mmoja ambae ni rafiki yangu akaropoka hana wakuja nae INJINIA WAKE ALIMWACHA TANGU ILE JANUARY, aisee nilichotaka kumjibu huyu mwalimu Mungu aliniziba mdomo hakika.
Nikaondoka huku wakicheka sasa kwa tarifa yao hakuna cha sherehe wala nini! Ijumaa skuli itafungwa watu waende makwao wakapumzike. Sasa na sijui hela ya likizo atamsainia nani huyo mropokaji.🙄😎😎
Mimi sijaona kosa katika walichokuwa wanakiwasilisha kwako kama mwalimu mwenzao ama bosi wao,infact wanakupenda na kutambua nafasi yako katika maisha yao kama rafiki na bosi wao ndio maana wakakushirikisha (Wangeweza na wanaweza kuifanga hata kisiri siri nje ya hapo).Inshort n fact ni jambo jema sana kama ndugu,wana taasisi wanapata nafasi kama hizo kujumuika pamoja na kufurahi pamoja ikiwa ni sehemu ya kusahau magumu mlioyayapitia,mkifahamiana (mashemeji zenu n familia zenu,mkawafahamu na watoto wa kila mwana taasisi yenu nao wanapata kufahamiana na kujenga urafiki).Habari za kazi wana JF,
Leo katika pilika zangu za ujenzi wa taifa kama mwl. Mkuu nikapita ofisini kwa walimu wenzangu kuwasabahi kama ilivyo dada.
Mwl mmoja akasema mkuu unaonaje kabla ya kufunga Ijumaa sisi walimu wote tukajumuika na wenzi wetu tukasherekea kumaliza mwaka wa masomo salama? nikamjibu haiwezekani! Kwa gharama ya nani?
Akasema watachangisha mchango kila mtu elfu 50 nikasema hapana ile namaliza kujibu walimu wote wameinuka nakunishambulia kwa maneno, ooh mkuu acha ubahili, unatubania riziki watu tunastress tunataka tukatoe stress na maneno mengine kibao.
Wakaanza wachaga bwana ubahili umewazidi, nikawaambia kama mnatakuorganize fanyieni nje ya eneo la shule na chochote kitakachotokea sitawajibika juu yenu.
Hawakuamini majibu niliyoyatoa mwalimu mmoja ambae ni rafiki yangu akaropoka hana wakuja nae INJINIA WAKE ALIMWACHA TANGU ILE JANUARY, aisee nilichotaka kumjibu huyu mwalimu Mungu aliniziba mdomo hakika.
Nikaondoka huku wakicheka sasa kwa tarifa yao hakuna cha sherehe wala nini! Ijumaa skuli itafungwa watu waende makwao wakapumzike. Sasa na sijui hela ya likizo atamsainia nani huyo mropokaji.🙄😎😎
Kwan injinia hawez kuwa wa kikeYaweza kuwa ndiyo maana akaamwbiwa injinia hayuko
Mkuu unamaanisha nini unaposema wanapenda starehe? Si useme wazi kabisa kwamba WANAOENDA MBUNYE? Kuna mtu asiyependa mbunye dunia hii? Hata mapadri hujipoza kwa masista. Chezea mbunye wewe!Habari za kazi wana JF,
Leo katika pilika zangu za ujenzi wa taifa kama mwl. Mkuu nikapita ofisini kwa walimu wenzangu kuwasabahi kama ilivyo dada.
Mwl mmoja akasema mkuu unaonaje kabla ya kufunga Ijumaa sisi walimu wote tukajumuika na wenzi wetu tukasherekea kumaliza mwaka wa masomo salama? nikamjibu haiwezekani! Kwa gharama ya nani?
Akasema watachangisha mchango kila mtu elfu 50 nikasema hapana ile namaliza kujibu walimu wote wameinuka nakunishambulia kwa maneno, ooh mkuu acha ubahili, unatubania riziki watu tunastress tunataka tukatoe stress na maneno mengine kibao.
Wakaanza wachaga bwana ubahili umewazidi, nikawaambia kama mnatakuorganize fanyieni nje ya eneo la shule na chochote kitakachotokea sitawajibika juu yenu.
Hawakuamini majibu niliyoyatoa mwalimu mmoja ambae ni rafiki yangu akaropoka hana wakuja nae INJINIA WAKE ALIMWACHA TANGU ILE JANUARY, aisee nilichotaka kumjibu huyu mwalimu Mungu aliniziba mdomo hakika.
Nikaondoka huku wakicheka sasa kwa tarifa yao hakuna cha sherehe wala nini! Ijumaa skuli itafungwa watu waende makwao wakapumzike. Sasa na sijui hela ya likizo atamsainia nani huyo mropokaji.🙄😎😎
sio fresh mkuuHabari za kazi wana JF,

Elimu yako tafadhariHabari za kazi wana JF,

Pole Naona povu limekutoka sanakwa akili hizi na hiyo roho mbaya nafikiria kuamini kuwa hata huo "u head ticha" ulipewa kwa kutoa rushwa,tena rushwa ya wuchi...hela yao we inakuuma kama yako vile.nyambafu
Elimu yang itakusaidia nnElimu yako tafadhari
Hatupohuku kwa ajili ya kuchagua mwenye mwandiko mzuri naandika ninavyotakaKm kwel we ni mwalimu bas tumekwisha..... uandish mbovu kuliko wanafunz wangu vilaza pale form one F
Hiyo mbunye ndo nin na wew, wengine huku wadogo hatujui unamaanisha ninMkuu unamaanisha nini unaposema wanapenda starehe? Si useme wazi kabisa kwamba WANAOENDA MBUNYE? Kuna mtu asiyependa mbunye dunia hii? Hata mapadri hujipoza kwa masista. Chezea mbunye wewe!
Usitoke povu mkuu niliwaruhusu na walisherekea salama hakuna ubayaMimi sijaona kosa katika walichokuwa wanakiwasilisha kwako kama mwalimu mwenzao ama bosi wao,infact wanakupenda na kutambua nafasi yako katika maisha yao kama rafiki na bosi wao ndio maana wakakushirikisha (Wangeweza na wanaweza kuifanga hata kisiri siri nje ya hapo).Inshort n fact ni jambo jema sana kama ndugu,wana taasisi wanapata nafasi kama hizo kujumuika pamoja na kufurahi pamoja ikiwa ni sehemu ya kusahau magumu mlioyayapitia,mkifahamiana (mashemeji zenu n familia zenu,mkawafahamu na watoto wa kila mwana taasisi yenu nao wanapata kufahamiana na kujenga urafiki).
Napata ukakasi kuamini kuwa gharama hizo alizokuambia uliziona ni kubwa..ili hali walimu hao ambao ni wadogo kwa cheo (cheo goes with higher salary) kwako wanaweza ku-afford halafu wewe ushindwe!!!!..labda kama kuna sababu nyingine ambazo hukutaka kuziweka wazi hapa.
Lakini hata kama zipo (whatever reasons they are) usitumie mamlaka yako vibaya kwa kuwanyima fursa hiyo surbordinates wako.
Hata kama wewe hutopenda kushiriki nao wape ushirikiano katika hilo.
Swallow your pride and let it happen.Be part of it n make it happen.
"sometimes,simple..simple acts like these make history in peoples' lives".Make them have you in their book of good memories.
Kamuulize mkurugenzi au afisa Elimu wang atakupa jibuHivi sifa za kuwa mwalim Mkuu zimebadilishwa? Huyu kaupataje ukuu?
Nyambafu mwenyew , huoni haya kumtukana usiyemfaham, eti cheo cha rushwa akili yako ni ndogo kama ya panzikwa akili hizi na hiyo roho mbaya nafikiria kuamini kuwa hata huo "u head ticha" ulipewa kwa kutoa rushwa,tena rushwa ya wuchi...hela yao we inakuuma kama yako vile.nyambafu