Kumbe walimu nanyi mnapenda starehe?

Kumbe walimu nanyi mnapenda starehe?

Hakuna asiyependa raha humu duniani.
Pesa zenyewe hazijaagi wacha watu wajiachie ilimradi pesa yao tena wametoa kwa mapendekezo yao wenyew shida iko wapi.
Labda shida ni kufanyia katika eneo la shule vinginevyo mara moja moja kuenjoy sio mbaya.
 
Kwani kuna kosa gani kujumuika pamoja! Mbona maofisi mengi yanafanya hivyo. Usiwe adui wa furaha mkuu.
 
Adui wa mwalimu ni mwalimu!
Tatizo mwalimu akipata cheo kidogo tu atawaona wenzie si chochote, na ndio maana wanashindwa kuwa na sauti moja ya kutetea maslahi yao...
 
Mwalimu huenda shuleni
Mwanafunzi huenda shuleni

Mwalimu husimama mstarini
Mwanafunzi husimama mstarini

Mwalimu huingia darasani
Mwanafunzi huingia darasani

Mwalimu husimama darasani
Mwanafunzi hukaa darasani

Mwalimu huandika notes
Mwanafunzi huandika notes

Mwalimu hula wakati wa mapumziko
Mwanafunzi hula wakati wa mapumziko

Mwalimu huenda nyumbani akisikia kengele
Mwanafunzi vivo hivyo.
What are you trying to insinuate???
 
huyu kama kweli mwalimu basi bonge la nyau, ni zaidi ya mnoko, mwenyewe walivyokuchana ndo ukaja tukuunge mkono hapa? inaelekea wewe una roho ngumu hadi kuku wakikutazama wanakukimbia.
 
inaonekana na ww ni miongoni mwa wakuu wanoko na wakola mashuleni. kuna mmoja kama ww ilibaki kdg tu nimshushi kosovo la nguvu ofcn kwake tukiwa wawili tu .

Elewa kuwa na ww ndali anakusaka kwa kuzolotesha elim nchni. Huwezi kuwanyima watu uhuru wa kusocialize kwa gharama zao na mbaya zaidi et usimsainie mtumishi barua ya rikizo kisa kakuchana ukweli!!!!! shame on you madam!!
eti mwenyewe anakuja tumuunge mkono hapa, natamani ningekuwa mwalimu halafu ktk stuff wake, ningempa vitasa hadi adondoshe ufizi na meno yake
 
Walimu nyie hampendani kabisaa, waachie washerekee kwani hela ni yako
 
Back
Top Bottom