Kumbe wadada wa Vyuo (WASOMI) wanauza miili!!!

Kumbe wadada wa Vyuo (WASOMI) wanauza miili!!!

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
.....Najua swala hili liko mahakamani vyombo vya habari leo vimetangaza.... mara nyingi inakuwa ni vigumu mtu wa kawaida kuamini kwamba wadada wa vyuo UDSM, CBE, IFM, VETA na wengineo wanauza miili yao usiku maeneo mbalimbali ya jiji loh!! najiuliza sababu hasa ya kufanya hivyo ni hulka au, njaa ya pesa au ya chakula, mazoea au mdudu wa ngono?
 
kupenda vitu vilivyo juu ya uwezo wao......kushindana mavazi, simu kali...n.k
 
vizuri unagawana na wenzio kwa bure au sometimes kwa kuuza kama hao

wengi tamaa kupenda life ya juu wakati pesa hawana hivyo wakiishiwa inabid wauze moja ya bidhaa zao adim
 
Ugumu wa pesa na Maisha wanayojiwekea ya kuiga wazungu pamoja na starehe siku za wikiend ndio chanzo cha kujiuza)
 
Maisha ni magumu ila kwa nini ujiachie hovyo hovyo ...mwili wako una thamani mnooooooooooo.
 
Wanapenda kuishi maisha ya tamthilia ndo maana, mtoto wa maskini hataki kuwa tofauti na mtoto wa tajiri... Short cut sana hawa watoto uvumilivu wameweka kando
 
.....Najua swala hili liko mahakamani vyombo vya habari leo vimetangaza.... mara nyingi inakuwa ni vigumu mtu wa kawaida kuamini kwamba wadada wa vyuo UDSM, CBE, IFM, VETA na wengineo wanauza miili yao usiku maeneo mbalimbali ya jiji loh!! najiuliza sababu hasa ya kufanya hivyo ni hulka au, njaa ya pesa au ya chakula, mazoea au mdudu wa ngono?
na hata wanaume wao wanalawitiwa endelea kujiuliza vizuri
 
Back
Top Bottom