MOn'goO
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 333
- 129
uhuni tu mbona sijawahi sikia Sua wanajiuza
Nani kasema... embu ihamishe sua uiweke mwenge uone balaa lake... Hauchelewi kusikia mpaka malecturer wanajiuza!!
uhuni tu mbona sijawahi sikia Sua wanajiuza
kupenda vitu vilivyo juu ya uwezo wao......kushindana mavazi, simu kali...n.k
Aende Maisha club ya morogoro au some times kahumbaNani kasema... embu ihamishe sua uiweke mwenge uone balaa lake... Hauchelewi kusikia mpaka malecturer wanajiuza!!
mahakama ipi?
chombo kipi cha habari?
fikria hii...Boom kila baada ya miezi 3, matumizi kila siku, kwa siku Boom 10,000, Kokotoa, Dala dala 1,000 Chai ya maziwa 500, Bagia 200 x5, Maji uhai 700 x 2, Msosi wa mchana 4,500, Jioni 4,500, vocha 500 (Amejiunga na kifurushi), nywele hajasuka, kucha bado, hana kazi ya kumwingizia mshahara na vyuo vyote vipo mjini hawezi kwenda kwa shsngazi au mjomba kuchimba magimbi, unafikri iweje? Halafu idadi ya gegedu mjini imeongezeka, hata akipewa lifti ya boda boda ataishiwa kutongozwa! Taxi na wenye magari binafsi ndo kabisaa, sasa wafanyeje kujikimu! After all inawasaidia kupunguza stress za mjin

hehehehe waume wao ni wafuasi wa ile redio inayotetea ushoga hapa nchini