Kumbe vyeo nifadhila!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
michuzi.jpg
Hii kitu nimeikuta Facebook Riz1 anasema awakuanza hapa wameanzia mbali wambele ni Issa Michuzi
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Michuzi ndiye mpiga picha Maarufu kwa wazawa na kazi yake inaonekana hivyo wala sio upendeleo.
 
sawa kabisa mm sioni kosa hapo yaani ajitenge kuwa karibu na watu kwa sababu yeye ni mpiga picha ? au Rits 1 mtoto wa ******
 
michuzi niko std six 1987 nasoma daily news picha alikuwa akipiga yeye, kweli jamaa si wa leo ana uzoefu tosha ana deserve na si kupendelewa!
 
Hii nakumbuka ilikuwa wakati Kikwete akiwa ni mbunge wa Chalinze au Bagamoyo ... kulitokea Jimboni kwake na mafuriko na yeye alikuwa anaenda kukagua sehemu zilizoathiriwa na mafuriko hayo.

Ilikuwa ni miaka ya 90 ..

attachment.php
 
michuzi niko std six 1987 nasoma daily news picha alikuwa akipiga yeye, kweli jamaa si wa leo ana uzoefu tosha ana deserve na si kupendelewa!
Chimunguru .. kulikuwa na mpiga picha mwingine alikuwa anaitwa Madanga S. Madanga! ... sijui yuko wapi siku hizi
 
wabongo bana! sasa mlikuwa mnataka huyu michuzi abaki kwenye halii kama katika hii picha mpaka sasa! duh!
 
Kwani Michuzi hivi sasa kapewa cheo gani? ni wa siku nyingi lkn kwenye tasnia ya picha japo mpaka sasa hajaweza kuwa mtu huru kifikra bado wa kujikomba ila ni mkongwe
 
Du ametonga mbali sana hila michuzi kiukweli wa long sana he deserves kwa kweli...Naona alikua anakula konozzz na mheshimiwa enzi hizo.
 
Back
Top Bottom