kumbe viongozi wengi wameathilika

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Jana baada ya kutangazwa wakuu wapya wa mikoa nilimpigia mmoja wapo(alikuwa Dc) na kumpongeza kwa kuukwaa UrC.Baada ya maongezi ya muda aliniambia alikuwa ameona jina lake likitabiliwa kwenye moja ya post za JF.Nikakumbuka kumbe hata viongozi wa Serikali ni waathilika wakubwa wa JF, yaani mambo hayaendi bila kuchungulia kama kuna post mpya.
 
NEW TANZANIA

Senior Member
Aug 15, 2011
101
25
Viongozi wote wamekunywa kikombe cha Babu na bado wanatafuna vile vidonge!

soma post kabla ya kuchangia wewe umesoma tu HEADING na kukimbialia kwenye HIV
jamaa ana maana ya JF
aisee, ndivyo hata mikataba inavyosaini hivi halafu tunawalaumu viongozi wetu wakati kutosoma vitu ni utamaduni kongwe hapa tanzania
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,882
3,736
Jf ni kiboko yao hawafanyi kitu bila kuchungulia humu, halafu wanawapa kazi mashushushu wao kutafuta nani wanabandika vibano vyao janvini!! Wanakazi kweli kweli.
 
mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,216
862
Jana baada ya kutangazwa wakuu wapya wa mikoa nilimpigia mmoja wapo(alikuwa Dc) na kumpongeza kwa kuukwaa UrC.Baada ya maongezi ya muda aliniambia alikuwa ameona jina lake likitabiliwa kwenye moja ya post za JF.Nikakumbuka kumbe hata viongozi wa Serikali ni waathilika wakubwa wa JF, yaani mambo hayaendi bila kuchungulia kama kuna post mpya.
<br />
<br />
heading yako inashtua mno..loh.!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom