Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,281
- 7,061
Kitendo cha waandamanaji kuimba na kutaka yaliyotokea Madagascar yatokee hapa Tanzania. Ndio risasi zikawa zinamiminwa hovyo!
Hii imenitia hofu. Maana habari za wengi waliofariki sidhani kama walikuwa kwenye maandamano. Mfano yule mwandishi wa Clouds media.
Hii imenitia hofu. Maana habari za wengi waliofariki sidhani kama walikuwa kwenye maandamano. Mfano yule mwandishi wa Clouds media.