Uwaziri hauombwi. Mtu anapewa bure bila kuomba. Inaonekana uwaziri unanoga sana. Naona Nape toka apumzishwe uwaziri, hatulii.
Mara anaita waandishi wa habari, cha kusema au kuwaambia hana. Mara mapokezi huko kwao, cha kusema hana.
Mara kwenye mitandao, cha kusema hana. Mara hooo nilikaa polinii miezi 38, so what?
Je, Mwajiri wako hakukulipa mshahara wa kila mwezi? Je, ulitaka mwajiri wako akupe kazi gani?
Hiyo ilikuwa sehemu ya ajira yako. No point at all. Yeye siyo mtu wa kwanza au wa mwisho kutemwa uwaziri.
Ni kweli anatafuta SYMPATHY/HURUMA, but too late. Busara ni kutulia na kuendelea na kazi nyingine.Afanye mazoezi ya kusahau UWAZIRI.