Kumbe uwanja wa Chato ni kwaajili ya kusafirisha madini



Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, naibu waziri ameelezea kuhusu matumizi ya uwanja wa ndege wa Chato.

Naibu waziri huyo amedai uwanja huo utakuwa unatumika kusafirisha madini kwani kutoka Mwanza hadi Chato ni zaidi ya kilomita 300 na kusafirisha madini umbali huo ni hatari kwa usalama. Na pia hata wamiliki wa mgodi wa Bulyanhulu wana uwanja wao hivyo ni muhimu serikali nayo kuwa na uwanja wake

Ameongeza kuwa uwanja huo pia utatumika kusafirisha watu na vifaa mbalimbali na hivyo uwanja huo ni kwa ajili ya manufaa ya watanzania wote ni si wachache.

Bullshit defense!
 

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita unaojengwa wilayani Chato utakapokamilika utatumika kusafirisha madini, watu na vifaa.
 
Kote wanazunguka tu,Uwanja unatakiwa kujengwa Shinyanga tu maana hapo ndo kuna umuhimu
 
Mkuu Geita nzima imejaa dhahabu.
hakuna wilaya ya Geita isiyokuwa na dhahabu.
Kila kwenye madini inajengwa international airport? Ilihali kilimo mnapeleka 3% ya budget?. Haya mkitoka Chato mkajenge Chunya, kahama, nyakavangala Iringa na sehem zingine zote zenye madini
 
Back
Top Bottom