Kumbe uwanja wa Chato ni kwaajili ya kusafirisha madini

Tumeomba katiba mpya,wameikalia,Lissu wamemtandika risasi,Magazeti wanafungia,polisi imegeuka Chaka la ccm,hivi great thinker haya mambo hayahitaji kuhojiwa kwa High court au tunajivuruga wenyewe,kwani issue hii na ile ya Jackob Zuma tofauti yake ni ipi wakuu.
Change ina anza na mimi na wewe pia ni Wajibu wetu kufanya mabadiriko bila uoga badala ya kulalamika kwenye Blanketi ama Mashuka ila nia aibu ukipinga kwa hoja unaambulia pyupyu!
 
Hizi siasa hizi Mungu atusaidie tu maana tunapokwenda kutakuwa kubaya zaidi
 
Chato hadi runzewe hakuna mchimbaji wa kukodi ndege kutoka Dubai kuja kuchukua madini,,helikopta zingewatosha,,,
Rubondo ndege zinazotua ni ndogo na wana airstrip yao,na idadi ya watalii si kubwa
Mnahangaika bure wakati wana bana matumizi
 
Tanzania hii hakuna sehem yenye dhahab iliyopo Geita,Chato kidogo sana
Hata hivyo JPM alishasema Geita mjin litakua soko la dhahab nchini,sasa uwanja uko chato over 180km from market,
Bado haina mantiki
Unanikumbusha:"Mwijage lete viwanda kagera watakaosema anapeleka viwanda kwao waache waseme tu, sie tunachotaka ni viwanda"
 
UONGO MTUPU!!!!!



Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, naibu waziri ameelezea kuhusu matumizi ya uwanja wa ndege wa Chato.

Naibu waziri huyo amedai uwanja huo utakuwa unatumika kusafirisha madini kwani kutoka Mwanza hadi Chato ni zaidi ya kilomita 300 na kusafirisha madini umbali huo ni hatari kwa usalama. Na pia hata wamiliki wa mgodi wa Bulyanhulu wana uwanja wao hivyo ni muhimu serikali nayo kuwa na uwanja wake

Ameongeza kuwa uwanja huo pia utatumika kusafirisha watu na vifaa mbalimbali na hivyo uwanja huo ni kwa ajili ya manufaa ya watanzania wote ni si wachache.
 
Back
Top Bottom