lols!!Kuna mgodi wa PhD
Mtwara hub ya gesi hawakuona,Kuna mgodi wa PhD
we call it " Maelekezo toka Juu "aliamrishwa aseme hivyo na mkulu
Zungu alidai ni wa jeshi akaambulia kuzomewa sasa heri wanyamaze tu, Uwanja huo ni uchafu mtupu...mkuu amekutwa yuko uchi busara ni kuchutama tu anyamaze kuliko kujifanya kujibu!
Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, naibu waziri ameelezea kuhusu matumizi ya uwanja wa ndege wa Chato.
Naibu waziri huyo amedai uwanja huo utakuwa unatumika kusafirisha madini kwani kutoka Mwanza hadi Chato ni zaidi ya kilomita 300 na kusafirisha madini umbali huo ni hatari kwa usalama. Na pia hata wamiliki wa mgodi wa Bulyanhulu wana uwanja wao hivyo ni muhimu serikali nayo kuwa na uwanja wake
Ameongeza kuwa uwanja huo pia utatumika kusafirisha watu na vifaa mbalimbali na hivyo uwanja huo ni kwa ajili ya manufaa ya watanzania wote ni si wachache.
Mkuu Geita nzima imejaa dhahabu.Migod ipo geita,huko chato kuna nini?
Time will tell there is no short cut in LifeOk sawa uko migodi ya madini mingi sana na hifadhi ya utalii ya rubondo
Hivi huyu mhenga FaizaFoxy yupo?Mtwara hub ya gesi hawakuona,
Naanza kukubaliana na Faiza Foxxy
Shule tulikwenda somea ujinga
Tanzania hii hakuna sehem yenye dhahab iliyopo Geita,Chato kidogo sanaMkuu Geita nzima imejaa dhahabu.
hakuna wilaya ya Geita isiyokuwa na dhahabu.