Kumbe urais unazeesha

Kumbe urais unazeesha

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
589
Reaction score
678
OBAMA.jpg

Kumbe urais unazeesha jamani sijui kama na huku kwetu ni hivi.
 
hiyo nchi inahitaji umakini kila sekunde kuiongoza, ina "vichaa" si maanishi waliokosa akili bali wenye misimamo tofauti na ajabu ajabu kuliko unavyofikiri, ina maadui kuliko marafiki...
 
Ni zaidi ya ugonjwa moyo huku uwaze mambo ya kiofisi huku uwaze mambo ya kifamilia, huku uwaze mambo ya wananchi wako, huku uwaze usalama wako
 
Back
Top Bottom