K KakaNanii JF-Expert Member Sep 28, 2008 325 52 Dec 15, 2011 #1 Kumbe UMRI si lolote kwenye kucheza muziki ! Attachments UMRI SI LOLTE KWENYE MUZIKI e.JPG 30.5 KB · Views: 1,459
Mwita25 JF-Expert Member Apr 15, 2011 3,831 1,164 Dec 15, 2011 #2 Hicho kibabu kinatafuta kifo kwa nguvu tu.
Chatumkali JF-Expert Member Sep 9, 2011 2,037 458 Dec 15, 2011 #3 Babu anacheza ama anajitingisha tu!
kikahe JF-Expert Member May 23, 2009 1,350 282 Dec 15, 2011 #4 Nafikiri babu ana kitu kingine anafuatilia na sio kucheza tu
mjombo's JF-Expert Member Oct 21, 2011 494 83 Dec 16, 2011 #6 muziki ni hisia unaweza kucheza hata km umelala bt hisia hizi zikizid mtu ndio anainvilve viongo vya mwil kucheza
muziki ni hisia unaweza kucheza hata km umelala bt hisia hizi zikizid mtu ndio anainvilve viongo vya mwil kucheza
misnomer JF-Expert Member Apr 13, 2011 200 69 Dec 17, 2011 #7 Nimejaribu ku-zoom mkono wa kushoto wa babu ulikoishia sijaupata
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,215 Dec 17, 2011 #8 Ngoja mzee akuwekee kiduku hapo ..
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,331 33,146 Dec 17, 2011 #12 Babu anaibiwa hapa na huyu shangingi ........ kasheshe kweli ama kweli mjini shule.
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Dec 16, 2010 305 47 Dec 17, 2011 #13 Babu anapata kitu roho inapenda, hapendwi mtu hapo ni pesa tu!
libent JF-Expert Member Oct 29, 2011 382 84 Dec 17, 2011 #14 we ngoja mvi zake zitakapobadilika na kuwa nyeusi ndo atajua nini maana watoto wa mjini. Nashut down
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Dec 18, 2011 #15 sasa huyo babu akafika kwenye mambo yetu yaleee atauweza muziki wa ukweliiii...? au anajichukulia point za mbele ya macho ya binaadamu kama driller..?
sasa huyo babu akafika kwenye mambo yetu yaleee atauweza muziki wa ukweliiii...? au anajichukulia point za mbele ya macho ya binaadamu kama driller..?