Kumbe ukweli ndio huuuuu, ........................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ukweli ndio huuuuu, ...........................

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by GeniusBrain, Nov 6, 2010.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Baada ya Hitimisho la leo la kuapishwa kwa Rais aliyeshinda kwenye uchaguzi Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE ( Japokuwa mgombea wa Cahama fulani hakutokea eti amesusa, ila wenzake wala yeye akisusa) , kinacho fuatia sasa ni kuchagua baraza makini la mawaziri. Na kwa vile mpaka sasa CCM ina jumla ya wabunge 186 wa kuchaguliwa ( ukiacha wale wa viti maalum) itakuwa na hazina kubwa ya kuchagua baraza bora. Tunamuombea Rais wetu afya njema aweze kulitumikia Taifa, kwani ridhaa aliyopewa na watanzania ya ushindi wa kishindo wa 61.17% (wengine wanauita USHINDI WA SUNAMI). Uchaguzi umekwisha, tusonge mbele na tugange yajayo.
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  ushindi wa kuiba kura za slaa,ushindi wa kuingia madarakani kutafuna mali ya uamma
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama 61 ni ushindi wa TSUNAMI then ule wa 80% 2005 utaitwaje?
  Makamba ana mengi ya kujibu mwaka huu na kashfa zake za wapinzani has Dr kumwita santuri mpya
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  61.17 Ushindi wa TSUMANI! You looser dare to call it that. Hakuna aibu ka ya mwaka huu. Unasonga mbele wewe ama warudi kinyumenyume? Nasikia mmechakachua hata wale mgambo wenu pale uwanjani na wana ugonjwa ka wa kiongozi wenu. Usiniulize ugonjwa gani si mnaujuaa!
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  the losers forever,ila mwisho wao upo we waache wajishaue na ivo vijikura vya kuchakachua vitawatokea puani
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hiyo dhana tu hakuna ukweli wowote, Slaa kura zake hazikutosha akijenge chama chake mpaka vijijini kwanza wamkubali. Hakuna anae tafuna mali ya umma ila tunautumikia umma wa Tz walio tupa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kingine cha 2010-2015 kwa ushindi wa SUNAMI.
   
 8. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Awamu iliyopita alikuwa na wabunge zaidi ya 200! Lakini baraza la mawaziri alilochagua wote tuliliona wewe mwenyewe shahidi, lilijaa vituka, kashfa, ufisadi na kila aina ya matatizo. Kama tunaweza kupata watu makini wa kuiongoza Tanzania awamu hii itakuwa ni neema ya Mungu na wala usihusishe suala hilo na ushindi unaouita wa 'kishindo' (61.17%) wakati hata Kinana aliamua kuuita 'ushindi mzuri' maana walitegemea ushindi wa >85.26%...

  Tumwombe Mungu atusaidie!
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha ahaaaa, na sie ndio tumeamka upyaaaa na 2015 , tunawagaragaza tena hivyo hivyo tu kwenye kila uchaguzi . Tunasheherekea bwana kwa USHINDI WA SUNAMI, mlidhani kushida dola mchezo, yanahitajika maandalizi mzee sio kitu cha mchezo kuwa rais.
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yeye mwenyewe JK kwenye hotuba yake leo amewapongeza wananchi kwa kumpa USHINDI WA KISHINDO, au hukuisikia mzee?. Na anasema leo ni rasha rasha tu hotuba kamili ni siku atakapo lifungua bunge.
   
 11. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  We m@@2#nge

   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Aache kuanguka hovyo majukwaani, mwambie apunguze ngono maana afya yake mgogoro.
  Vilevile apunguze safari za nje kwenda kubadilisha damu kwa kodi za watanzania.
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Najua sana haya maneno ya SUNAMI au KISHINDO slaa hapendi sana kuyasikia masikioni mwake na wapenzi wake, ila ndio maneno halisi ya kusema bana
   
 14. o

  ombwilbard New Member

  #14
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amka acha kuwa kama wazee wa miaka ya arobaini!huyu ni rais wako co wetu!
   
 15. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Nawashangaa wanaopoteza muda kujibizana na limbukeni wa CCM/Mafisadi!!!! Yaani huna hata aibu!!!

  Tiba
   
 16. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wala siyo wa kishindo kwa taarifa yako imani ya wananchi kwake imepugua toka 80% mpaka 61%. watu hatuna imani naye kama 2005.
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  GeniusBrain ya kikwete hiyo
   
 18. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,865
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Useless great thinker!!!!! mvyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  tehe tehe...eti ushindi wa tsunami!!??:nono::nono:
   
 20. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukisikia unafki ndo huu sasa:bowl:
   
Loading...