Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
DAWA YA DENI KULIPA, BAADA YA HAPO YOU ARE STRESS FREE
Halafu wanawake wanajua ukiwa na stress ili akupoze ni kukupa penzi, kumbe sio kabisa. Utasikia niambie tatizo lako nitakusaidia. Hapo kukusaidia ni kukupa papuchi uchakate ilihali wewe akili inatafakari siku utakayohamia segerea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu,Nimetia kampuni hasara ya zaidi ya milioni tatu na natakiwa kuzilipa haraka iwezekanavyo.. Ukilinganisha na kipato changu nahisi labda baada ya miaka miwili ndo ntamaliza.
Nimerudi nyumbani nimepewa game nimeshindwa shindweeee kabisa.. daaaah
Maombi yenu tu kwakweli, laa sivyo jela, fedheha na kuchapiwa kutanihusu.
[emoji848]
😁😁😁 dah eti tafuta bashanaanza kuamini kweli tumeumbwa tofauti.......wengine tukiwa na stress ndo tuna genye balaaaaa......kikubwa uwe unaye wako muhibu....sio LAGHAI....... hayo ni mapito...genye zipo milele.....anyway pole........ukishindwa kabisa jaribu NYETO.......ikigoma tafuta BASHA....