Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

Ni kweli Bunge Hutunga SHERIA na ni kweli Bunge Maalumu la Katiba linatakiwa kutunga Katiba (lakini iliyopendekezwa!).Uhalisia katika mabunge yote mawili ni kuwepo kwa draft/rasimu. Kwa Bunge la kawaida, serikali kupitia wizara ya sheria huandaa Bill ambayo hupelekwa bungeni kwa kujadiliwa, kama bunge litakubaliana nayo huwa ni sheria, ikifanyiwa maboresho mengi basi hurudishwa kwa serikali na ikingangania bunge huvunjwa. Kwa tafsiri hii rasmi ni jambo la kawaida tu kama bill yeyote kwa bunge (tofauti ni kwa kuwa hii ni sheria mama, uandaaji wa bill/rasimu ushirikishe wananchi kupitia kazi ya tume. Haiwezekani kamwe BMK likafanya marekebisho makubwa au kuibadili halafu zoezi likaendelea, itabidi irejeshwe kwa Tume! Tafsiri anayotoa mleta hoja hapa na zile za CCM inadhamiria kubadili rasimu kuwa kitu kingine nje ya maoni ya awali ya wananchi.

Kinachotegemewa na WATU WA AINA YA CCM ni kuburuza ipatikane Katiba na kwenye kura za maoni kazi kubwa iwe ni uchakachuaji. Kinachoogopwa ni kuwa na katiba isiyokidhi mahitaji ya CCM

Bunge maalum linatakiwa kutunga katiba ( lakini iliyopendekezwa) 👉👉👉 tafuta maana sahihi ya neno kutunga.
 
@ Njilemera: Ninashukuru kwa jinsi ulivyojaribu kulinganisha wajibu wa BJMT na BMK katika kutunga sheria. Aidha pia nimefurahi umeweka wazi kwamba kuna tofauti kati ya sheria za kawaida zinazotungwa na BJMT na katiba.
NInapo tofautiana na wewe (na wengine wanao unga mkono UKAWA) ni kwenye swala la uzito wa rasimu iliyopendekezwa!
Ni mtizamo wangu kuwa kwenye sura na vifungu vya muundo wa Muungano, Rasimu HAIKUWAKILISHA MAONI YA WANANCHI WALIO WENGI!
Kwenye eneo hilo Rasimu imewakilisha TAFSIRI ya Warioba na wenzake kuhusu maoni ya wananchi- Tafsiri ambayo haiungwi mkono na kanuni yoyote ya kitakwimu (Yes… Ninajua hizo kanuni na nimezifundisha katika ngazi ya chuo kikuu – kama unataka kujua!)
Kwa mujibu wa takwimu; takwimu za tume ya Warioba zinaonyesha kwamba ni asilimia 8.36 tu ya waliotoa maoni ndio walio gusia na kusema wanataka s3… alichojaribu ni ku “Draw inference” kutoka kwa hawa waliosema wanataka s3… si sahihi inapokuja kwenye Population nzima!
Swala la “Ni nini hasa maoni ya wananchi walio wengi” ndilo linalogomba!
UKAWA wanadai 8% ya wote waliotoa maoni NDIO maoni ya wananchi walio wengi! – inaleta shida kuelewa!
Ukweli ni kwamba kwa wananchi walo wengi; LA MUHIMU kuliko chochote kingine ni 1. Huduma bora za Jamii, na 2. Uongozi Bora (in that order!) UKAWA kwa kutumia kanuni rahisi sana ya “the Loud minority” wanataka tukubaliane nao kwamba “Muundo wa Muungano” is everything! Wanadharau kabisa ukweli kwamba la Muhimu kuliko yote ni “UONGOZI BORA” (utakaopelekea siasa safi na mikakati yenye ufanisi) Bila Uongozi bora hata uwe na s10… bado maisha ya mwananchi wa kawaida yataendelea kuwa mabaya!
Wanaounga mkono UKAWA wameshupalia kwamba wanaozuia uwepo wa katiba ni CCM… sidhani Hivyo!
Aidha kuna tatizo katika kudhani kwamba KILA anayepinga UKAWA ni CCM – hilo ni dhahiri ingawa wengi wanaendelea kulitangaza Hivyo!
Tatizo hapa sio wanapinga uhalali na msimamo wa UKAWA… tatizo ni UKAWA!
Kwa UKAWA kushinikiza kwamba hawarudi BMK hadi wanachotaka wao Kiwe – ni kujaribu kuteka nyara uhuru wa kujadili hiyo rasimu.
Kwa waTz wenye mawazo kama yangu, NILITEGEMEA sana mijadala ndani ya BMK inisaidie kuelewa umuhimu, ulazima na uhalali wa s3… UKAWA wananinyima haki hiyo kwa ku LAZIMISHA BMK liwe rubber stamp ya rasimu (ambayo kwa mawazo yangu imekaa kushoto kwenye swala la Muundo wa Muungano). Kama mTz SITAKI BMK liwe rubber stamp! UKAWA warudi bungeni; Toeni hoja zenu! Wasikilizeni na kuwapinga wanaopinga msimao wenu KWA HOJA!
Aidha
Bila kuwa kisheria zaidi, Uwepo wa UKAWA hauna uhalali wowote kwa mantiki ya faida kwa wananchi wa kawaida.
Kwa baadhi yetu, Wanachofanya UKAWA ni USALITI mkubwa kwa wananchi tuliowatuma kutuwakilisha! – (MB wangu amesimama na UKAWA)
Ukweli ni kwamba; wanachofanya UKAWA ni kutelekeza wajibu wao kama viongozi wetu! Kwa wao kukataa kurudi bungeni, wanatunyima uwakilishi kwenye BMK! – Binafsi hili SILIPENDI KABISA! Kiongozi wa watu ANALAZIMIKA kuwa tayari kufanya majadiliano! Nina ogopa sana “kiongozi” asiyetaka kujadiliana… Laiti Mhe. MB wangu angeliona hili!

BMK linaendeshwa WAZI!- na KILA mwananchi ana uwezo wakuona kinachoendelea! UKAWA wasidhani wananchi hawana akili! UKAWA warudi bungeni… Kama kuna kufanyiwa ambavyo sivyo…– si wananchi wanaona? Kuna kura ya maoni, na mwakani (2015) ni uchaguzi mkuu! WaTz sio mbumbumbu kama mnavyodai! Wana uwezo wa kuamua! Heshimuni japo hilo… Ndio demokrasia!
Wengi wa waliobaki UKAWA (Idadi yao imepungua kutoka walivyokuwa mwanzo), ni wabunge wa kuchaguliwa! Sijui ni nani “strategist” (mpanga mkakati) wa upande wa wasio UKAWA. Ila ningekuwa mimi, msimamo wa UKAWA ni mtaji tosha!
 
JK kweli anaonewa sana, eti inadaiwa kasema kuwa "tukichagua Serikali 3 nchi itaingia vitani!" Muogopeni Mungu jamani, vibaya hivyo!!

Buchanan;
Weye ndo umwogope huyo Mungu. Ikiwa mahaba yako kwa JK ni makubwa hivyo, huwezi kumsikia anaposema lolote. Waliomsikiliza kama Rais ndo waliomsikia. Hata viongozi wake waandamizi waliporopoka wazi wazi makanisani kule Dodoma, kuwa Serekali tatu zitatuletea vita na umwagikaji wa damu, yeye kama mkuu wa nchi hajakosoa wala kukemea upuuzi ka huo. Basi, ukisikia kilio nawa ukakaa kimya nawe umeshiriki madhara. Kachukue buku 7 zako kuleeeee
Muungwana huita koleo kuwa ni koleo wala si kijiko kikubwa
 
duh mleta thread kama iyo sio propaganda basi ww una ulemavu wa kufikiri, pole.
 
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!

...nilidhani unachambua hoja za ukawa kulingana na rasimu inasemaje,kumbe mwongozo wako ni hotuba ya jk ambayo inaandaliwa na january ...! unategemea nini hapo nje ya unafiki wa kujisafisha tu....
 
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!
Ndugu yangu, siasa inabadilika, mbinu za kumshinda adui zinaboreshwa kila uchao. CCM ambacho hawajui ni kuwa wenzao UKAWA wanaenda ki (.com) Sasa si ajabu kuona wazee wanalia kuwa kumbe vijana wanabadilika badilika! Na hii mbinu waliozeeka wasipoijua mapema wataumia 2015. Hebu fuatilia walianza na ukabila, wakaachwa. Wakaenda udini, wakaachwa. Wakasema kutumiwa na mataifa ya nje, wakaachwa. Sasa hii ya kuungana ndo hatari manake wazee wanashindwa wamlenge nani. Chadema, NCCR, CUF au UKAWA? Ona na wewe sasa unalia hivyo hivyo
 
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!

shida kubwa iliyopo kwa sasa ni upotoshaji wa makusudi wa habari.na.taarifa .... kinachosikitisha hata rais naye anashiriki kwenye upotoshaji huo

ukawa hawajasema rasimu isboreshwe .... walichosema huwezi vunja structure au moyo wa rasimu

bado nauliza kwa nini mlivunja tume iliyooandaa rasimu wakati kazi yake ilitakiwa iwe na kutoa ufafanuzi wa vifungu mbali mbali vya rasimu pale inapobidi .... kichekesho mlisema mtaita mwenyekiti au makamu wa tume kutoa ufafanuzi lakini mpaka leo hawajawahi kuitwa hata mara moja na taarifa zote hadi za.mtandao wa tume mnaficha
 
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!

Interehmwe endeleeni tu kuzuia katiba lakini chenye mwanzo eleweni kina mwisho pia
 
@ Njilemera: Ninashukuru kwa jinsi ulivyojaribu kulinganisha wajibu wa BJMT na BMK katika kutunga sheria. Aidha pia nimefurahi umeweka wazi kwamba kuna tofauti kati ya sheria za kawaida zinazotungwa na BJMT na katiba.
NInapo tofautiana na wewe (na wengine wanao unga mkono UKAWA) ni kwenye swala la uzito wa rasimu iliyopendekezwa!
Ni mtizamo wangu kuwa kwenye sura na vifungu vya muundo wa Muungano, Rasimu HAIKUWAKILISHA MAONI YA WANANCHI WALIO WENGI!
Kwenye eneo hilo Rasimu imewakilisha TAFSIRI ya Warioba na wenzake kuhusu maoni ya wananchi- Tafsiri ambayo haiungwi mkono na kanuni yoyote ya kitakwimu (Yes… Ninajua hizo kanuni na nimezifundisha katika ngazi ya chuo kikuu – kama unataka kujua!)
Kwa mujibu wa takwimu; takwimu za tume ya Warioba zinaonyesha kwamba ni asilimia 8.36 tu ya waliotoa maoni ndio walio gusia na kusema wanataka s3… alichojaribu ni ku “Draw inference” kutoka kwa hawa waliosema wanataka s3… si sahihi inapokuja kwenye Population nzima!
Swala la “Ni nini hasa maoni ya wananchi walio wengi” ndilo linalogomba!
UKAWA wanadai 8% ya wote waliotoa maoni NDIO maoni ya wananchi walio wengi! – inaleta shida kuelewa!
Ukweli ni kwamba kwa wananchi walo wengi; LA MUHIMU kuliko chochote kingine ni 1. Huduma bora za Jamii, na 2. Uongozi Bora (in that order!) UKAWA kwa kutumia kanuni rahisi sana ya “the Loud minority” wanataka tukubaliane nao kwamba “Muundo wa Muungano” is everything! Wanadharau kabisa ukweli kwamba la Muhimu kuliko yote ni “UONGOZI BORA” (utakaopelekea siasa safi na mikakati yenye ufanisi) Bila Uongozi bora hata uwe na s10… bado maisha ya mwananchi wa kawaida yataendelea kuwa mabaya!
Wanaounga mkono UKAWA wameshupalia kwamba wanaozuia uwepo wa katiba ni CCM… sidhani Hivyo!
Aidha kuna tatizo katika kudhani kwamba KILA anayepinga UKAWA ni CCM – hilo ni dhahiri ingawa wengi wanaendelea kulitangaza Hivyo!
Tatizo hapa sio wanapinga uhalali na msimamo wa UKAWA… tatizo ni UKAWA!
Kwa UKAWA kushinikiza kwamba hawarudi BMK hadi wanachotaka wao Kiwe – ni kujaribu kuteka nyara uhuru wa kujadili hiyo rasimu.
Kwa waTz wenye mawazo kama yangu, NILITEGEMEA sana mijadala ndani ya BMK inisaidie kuelewa umuhimu, ulazima na uhalali wa s3… UKAWA wananinyima haki hiyo kwa ku LAZIMISHA BMK liwe rubber stamp ya rasimu (ambayo kwa mawazo yangu imekaa kushoto kwenye swala la Muundo wa Muungano). Kama mTz SITAKI BMK liwe rubber stamp! UKAWA warudi bungeni; Toeni hoja zenu! Wasikilizeni na kuwapinga wanaopinga msimao wenu KWA HOJA!
Aidha
Bila kuwa kisheria zaidi, Uwepo wa UKAWA hauna uhalali wowote kwa mantiki ya faida kwa wananchi wa kawaida.
Kwa baadhi yetu, Wanachofanya UKAWA ni USALITI mkubwa kwa wananchi tuliowatuma kutuwakilisha! – (MB wangu amesimama na UKAWA)
Ukweli ni kwamba; wanachofanya UKAWA ni kutelekeza wajibu wao kama viongozi wetu! Kwa wao kukataa kurudi bungeni, wanatunyima uwakilishi kwenye BMK! – Binafsi hili SILIPENDI KABISA! Kiongozi wa watu ANALAZIMIKA kuwa tayari kufanya majadiliano! Nina ogopa sana “kiongozi” asiyetaka kujadiliana… Laiti Mhe. MB wangu angeliona hili!

BMK linaendeshwa WAZI!- na KILA mwananchi ana uwezo wakuona kinachoendelea! UKAWA wasidhani wananchi hawana akili! UKAWA warudi bungeni… Kama kuna kufanyiwa ambavyo sivyo…– si wananchi wanaona? Kuna kura ya maoni, na mwakani (2015) ni uchaguzi mkuu! WaTz sio mbumbumbu kama mnavyodai! Wana uwezo wa kuamua! Heshimuni japo hilo… Ndio demokrasia!
Wengi wa waliobaki UKAWA (Idadi yao imepungua kutoka walivyokuwa mwanzo), ni wabunge wa kuchaguliwa! Sijui ni nani “strategist” (mpanga mkakati) wa upande wa wasio UKAWA. Ila ningekuwa mimi, msimamo wa UKAWA ni mtaji tosha!

!
!
umefundisha chuo gani?.....madrasa
 
Acheni umbulula sasa kama ni kubadilisha kila kit kulikua na haja gani ya kukusanya maoni kwa wananchi
Si wangeandika wenyewe kama mawazo yao yanafaa
Tunataka kile ambacho wananchi wanataka si kikundi cha watu
Hayo wanayoweka ndo ya wananchi au ya nan
 
Ccm wameteka katiba kwa sababu hakua na utashi wa kisiasa tangu mwanzoni. Ilikua ilani ya vyama pinzani. Kwahio wamepata kiwewe cha ajabu na wana haha kabisa kutafuta kumiharibia bosi wao lengo na nia nzuri
 
Hapana, umekosea, rasimu haiboreshwi, kinachotungwa ni Katiba si rasimu tena ya katiba. Kumbuka hilo.

Nna wasi wasi hata kama maana ya rasimu mnaielewa.

Una akili nzito sana we ajuza,iko hivi kazi ya bunge la katiba ni kuipitisha hiyo rasimu kifungu kwa kifungu ili kuipa uhalali wa kisheria ili iwe katiba.
 
@ Njilemera: Ninashukuru kwa jinsi ulivyojaribu kulinganisha wajibu wa BJMT na BMK katika kutunga sheria. Aidha pia nimefurahi umeweka wazi kwamba kuna tofauti kati ya sheria za kawaida zinazotungwa na BJMT na katiba.
NInapo tofautiana na wewe (na wengine wanao unga mkono UKAWA) ni kwenye swala la uzito wa rasimu iliyopendekezwa!
Ni mtizamo wangu kuwa kwenye sura na vifungu vya muundo wa Muungano, Rasimu HAIKUWAKILISHA MAONI YA WANANCHI WALIO WENGI!
Kwenye eneo hilo Rasimu imewakilisha TAFSIRI ya Warioba na wenzake kuhusu maoni ya wananchi- Tafsiri ambayo haiungwi mkono na kanuni yoyote ya kitakwimu (Yes… Ninajua hizo kanuni na nimezifundisha katika ngazi ya chuo kikuu – kama unataka kujua!)
Kwa mujibu wa takwimu; takwimu za tume ya Warioba zinaonyesha kwamba ni asilimia 8.36 tu ya waliotoa maoni ndio walio gusia na kusema wanataka s3… alichojaribu ni ku "Draw inference" kutoka kwa hawa waliosema wanataka s3… si sahihi inapokuja kwenye Population nzima!
Swala la "Ni nini hasa maoni ya wananchi walio wengi" ndilo linalogomba!
UKAWA wanadai 8% ya wote waliotoa maoni NDIO maoni ya wananchi walio wengi! – inaleta shida kuelewa!
Ukweli ni kwamba kwa wananchi walo wengi; LA MUHIMU kuliko chochote kingine ni 1. Huduma bora za Jamii, na 2. Uongozi Bora (in that order!) UKAWA kwa kutumia kanuni rahisi sana ya "the Loud minority" wanataka tukubaliane nao kwamba "Muundo wa Muungano" is everything! Wanadharau kabisa ukweli kwamba la Muhimu kuliko yote ni "UONGOZI BORA" (utakaopelekea siasa safi na mikakati yenye ufanisi) Bila Uongozi bora hata uwe na s10… bado maisha ya mwananchi wa kawaida yataendelea kuwa mabaya!
Wanaounga mkono UKAWA wameshupalia kwamba wanaozuia uwepo wa katiba ni CCM… sidhani Hivyo!
Aidha kuna tatizo katika kudhani kwamba KILA anayepinga UKAWA ni CCM – hilo ni dhahiri ingawa wengi wanaendelea kulitangaza Hivyo!
Tatizo hapa sio wanapinga uhalali na msimamo wa UKAWA… tatizo ni UKAWA!
Kwa UKAWA kushinikiza kwamba hawarudi BMK hadi wanachotaka wao Kiwe – ni kujaribu kuteka nyara uhuru wa kujadili hiyo rasimu.
Kwa waTz wenye mawazo kama yangu, NILITEGEMEA sana mijadala ndani ya BMK inisaidie kuelewa umuhimu, ulazima na uhalali wa s3… UKAWA wananinyima haki hiyo kwa ku LAZIMISHA BMK liwe rubber stamp ya rasimu (ambayo kwa mawazo yangu imekaa kushoto kwenye swala la Muundo wa Muungano). Kama mTz SITAKI BMK liwe rubber stamp! UKAWA warudi bungeni; Toeni hoja zenu! Wasikilizeni na kuwapinga wanaopinga msimao wenu KWA HOJA!
Aidha
Bila kuwa kisheria zaidi, Uwepo wa UKAWA hauna uhalali wowote kwa mantiki ya faida kwa wananchi wa kawaida.
Kwa baadhi yetu, Wanachofanya UKAWA ni USALITI mkubwa kwa wananchi tuliowatuma kutuwakilisha! – (MB wangu amesimama na UKAWA)
Ukweli ni kwamba; wanachofanya UKAWA ni kutelekeza wajibu wao kama viongozi wetu! Kwa wao kukataa kurudi bungeni, wanatunyima uwakilishi kwenye BMK! – Binafsi hili SILIPENDI KABISA! Kiongozi wa watu ANALAZIMIKA kuwa tayari kufanya majadiliano! Nina ogopa sana "kiongozi" asiyetaka kujadiliana… Laiti Mhe. MB wangu angeliona hili!

BMK linaendeshwa WAZI!- na KILA mwananchi ana uwezo wakuona kinachoendelea! UKAWA wasidhani wananchi hawana akili! UKAWA warudi bungeni… Kama kuna kufanyiwa ambavyo sivyo…– si wananchi wanaona? Kuna kura ya maoni, na mwakani (2015) ni uchaguzi mkuu! WaTz sio mbumbumbu kama mnavyodai! Wana uwezo wa kuamua! Heshimuni japo hilo… Ndio demokrasia!
Wengi wa waliobaki UKAWA (Idadi yao imepungua kutoka walivyokuwa mwanzo), ni wabunge wa kuchaguliwa! Sijui ni nani "strategist" (mpanga mkakati) wa upande wa wasio UKAWA. Ila ningekuwa mimi, msimamo wa UKAWA ni mtaji tosha!

Kama wewe ni mwalimu wa takwimu - tena chuoni kama ulivyodai hapa- then may the Lord God of Israel have mercy on this country!
 
Una akili nzito sana we ajuza,iko hivi kazi ya bunge la katiba ni kuipitisha hiyo rasimu kifungu kwa kifungu ili kuipa uhalali wa kisheria ili iwe katiba.

Kazisome sheria na kanuni za Bunge Maalum la Katiba, ingekuwa hivyo usemavyo si wangeshapitisha zamani kabisa.
 
Kwa hoja za namna hii, nchi haitafika popote. Mleta hoja umekuwa biased from the beginning, sasa wachangiaji wajadili nini il hali umemaliza, alafu hoja za "Eti" sio za kitaaluma kabisa..!
 
Back
Top Bottom