Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!

povu limekujaa mdomoni.
 
acha ushabiki fikiria kwa kina mkuu
 
Hongera nawe kw kufanya kazi yako vzuri. Endelea. ila buku saba inakutosha kwa malipo? Ushabakwa mawazo. Kujigundua ni kaz sana. Tatzo ni kwamba hadi familia yko wanaokutegemea wooote wamebakwa mawazo kupitia wewe. Mchuma janga....... Pole
 
Buchanan;
Weye ndo umwogope huyo Mungu. Ikiwa mahaba yako kwa JK ni makubwa hivyo, huwezi kumsikia anaposema lolote. Waliomsikiliza kama Rais ndo waliomsikia. Hata viongozi wake waandamizi waliporopoka wazi wazi makanisani kule Dodoma, kuwa Serekali tatu zitatuletea vita na umwagikaji wa damu, yeye kama mkuu wa nchi hajakosoa wala kukemea upuuzi ka huo. Basi, ukisikia kilio nawa ukakaa kimya nawe umeshiriki madhara. Kachukue buku 7 zako kuleeeee
Muungwana huita koleo kuwa ni koleo wala si kijiko kikubwa
JK hakutamka maneno hayo, as simple as that! Kukemea sio lazima iwe hadharani! Mimi nina mahaba na nchi yangu nzuri, sio JK!
Hayo ya buku 7 ndio nayasikia kwako, ni kitu gani hicho?
 
Hongera nawe kw kufanya kazi yako vzuri. Endelea. ila buku saba inakutosha kwa malipo? Ushabakwa mawazo. Kujigundua ni kaz sana. Tatzo ni kwamba hadi familia yko wanaokutegemea wooote wamebakwa mawazo kupitia wewe. Mchuma janga....... Pole
UKAWA mtawajua kwa kauli zao!
 
acha ushabiki fikiria kwa kina mkuu
Nimeipitia Rasimu yote ya Mzee Warioba, imependekeza Muungano wa Serikali 3 ambazo ni "egemezi" na "tegemezi!" Kwa kifupi kwa Rasimu ya Warioba Muungano bye bye!
Ngoja waje wazee wa UKAWA utawasikia wakidai "kwani Muungano ukivunjika kuna ubaya gani?"
 
kwa mtu kama wewe mlengo wa ccm, japo hujasema, utawapotosha watu kuwa rais kalonga na UKAWA waongo! ccm wana lengo lao kwa maslahi yao, na ukawa ni wakweli, wana lengo kwa maslahi ya nchi! serikali 2 ni zanzibar kuendelea kubebwa na bara na viongozi wasio kubalika bara kuitumia nec ya ccm yenye nusu ya wajumbe toka zenj (na wote wa dini moja) kufanikisha mambo yao kama ilivotokea kumpata mgombea urais 2005! katiba mpya itapitishwa kwa nguvu lakini italeta matatizo makubwa! kumbuka katiba ni makubaliano kati mtawala na mtawaliwa, sasa la ajabu kwa tanzania,mtawala peke yake(kumbuka bunge letu haliisimamii serikali, ni muhuri wake tu!)anakaa kutunga jinsi atakavyo tawala, mtawaliwa kaliona, hamshtuki!

Angalia hapo kwenye nyekundu; hawa magamba wamesahau kuwa nchi hii ilipinga ukoloni kwa nguvu zote na wao wanataka kuurudisha ukoloni kwa kupitia hii katiba wanayoindika wao peke yao!!
 
Walau wengine tumepata nafasi ya kukujua kumbe hamna kitu kabisa aisee...
 
Back
Top Bottom