Kumbe uchawi upo! Soma hii toka kwenye blog ya mwanamke nyumba

Haioneshi uchawi uko wapi? hiyo ni moja ya "complications" za uja uzito. Kambana mtoto tumboni na nguo za harusi ili kitumbo kisitokeze na hayo ndio matokeo yake.
 
Hakuna chochote kinachoonyesha kwamba uchawi upo hapo.

Inawezekana dada alikuwa na matatizo yake na saikolojia ya "matrimony anxiety" ika triger matatizo ya kiafya.

Nitakupa mfano.

Mie kila siku nasema humu kwamba siamini any supernatural power, siamini mungu, shetani. malaika au uchawi.

Akaja dada mmoja akasema atanipiga "al-badiri", kiutani.

Nikaenda kulala. Nikalala na headphones kubwa, nasikiliza "BBC World Service", katika utamu wa dreamworld kusikiliza BBC nikajikunja vibaya, nikaulalia mkono. Kuamka asubuhi, nimeulalia mkono, mkono unaniuma kichizi, yaani I am talking about agony.

Sasa hapa kama mie mtu wa kuamini uchawi, mungu na al-badiri, ni rahisi sana kuona mie kuumwa mkono ni al-badiri imenipata na inaanza kuni badili polepole.

Bahati nzuri siamini mambo hayo.

Nimejitahidi kusoma post vizuri nijue labda kuna habari mpya za kunionyesha uchawi upo, nikakuta watu wanaogopa vivuli na wanaweza kuabudu coincidence kama uchawi.
 
Unazungumzia kuwepo kwa uchawi? Huamini kama upo? Tanzania upo Muungano au haupo? Kwani muungano wa Tanzania ni nini? :lol:
 
Hebu mwambie mchawi akamroge anaye jua kusoma na kahifadhi Qur'an kama ataweza.
 
Back
Top Bottom