Kumbe Tingatinga letu ni Manual na sio Automatic..!


Jembe limetiwa mpini wa mbao...... hamna lolote. Juzi hapa limepigwa stop na wenye chama chao. Tangu litoke Muhimbili jembe linapalilia ukoka ikulu....

Hapana cheza na system wewe.... chama kimeshika hatamu. Mwenye chama chake jana katia timu Lumumba kupiga kazi.

Jembe litakuwa la kwanza tangu tupate uhuru kushuhudia wapiganaji wakilambishwa magoli kadhaa.... siku chache tu baada ya kukabidhiwa nyumba.

Poor jembe!!
 
Amakweli bora kuongoza ng'ombe bilioni kuliko binadamu 10.
 
Watanzania kwa kushabikia mambo bila kitafakari, MTU kwenye akili timamu huwezi kuona utendaji wa MTU ndani ya wk moja na kuanza kushangilia. Wengine wameshaanza kusema 2020 atashinda kwa 90%!

Tatizo Elimu kumshabikia mchezaji kwa kupiga chenga na kanzu wakati anafungwa kila mechi tusubili ndani ya mwaka mmoja ndio tutajua jembe au rungu
 
Ww kusoma haujui!!! Ku support"

Kufika kwake uwanjani kutawapa hamasa wachezaji wa Taifa stars na kutojisikia kufanya vibaya mbele ya Raisi wao wa awamu ya Tano.

Wachezaji Wa taifa star hawajitambui awana Marengo wameokotwa barabarani awajaandaliwa kimchezo rabda aje mungu mwenyewe aweke Baraka Zake tatizo tunapenda kuvuna bila kuandaa shamba hili litoe mavuno mazuri mwisho tunavuna mabua ntawapongeza kama mkibahatika kufunga kwa kubahatisha sio kwa MarengoπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Wewe subiri 2020 uchague tena jiwe.
 
Yaani wakati wa kampeni Ukawa walikuwa wanatoa baraka zao wakati timu ya Taifa ikiwa na mechi. Kwa sasa hata kufanya hivyo wanasusa? Ok, subirini 2020 mchague tena jiwe.
 
Hiyo tripu ya uwanja wa taifa alipangiwa na kitengo cha lishe na dawati la wageni ndio maana kakikufulia mbali na kawa job out absenteeism (joboa)
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Hakuna mahali alipotajwa rais hapo, hivyo hata ukienda mahakamani hamna kesi hapo.Acha ubashiri???!???!???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…