Kumbe tende za nje ni tamu....

Kumbe tende za nje ni tamu....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
02_11_fugp4w.jpg
Watoto wa Mauritania wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kwa tende na maziwa alipowasili jijini Noaukchott kwa ajili ya mkutano wa wakuu wa nchi sita za Afrika wenye jukumu la kutafuta suluhisho la kisiasa nchini Ivory Coast. Kulia kwake ni mwenyeji wake, Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa nchi hiyo.(Picha na Freddy Maro).
 
Mh!naona mkwele anachekacheka tu akifurahia tende harua!!
 
Hapo ndio wamemfikisha mahala pake....
 
Tende maziwa zinaongeza nguvu kwenye mambo yetu yale, sasa hapa jk sijui walimfikiriaje?
 
Duh kumbe jamaa wachovu mbendembende kuliko hata sisi?
 
Tende maziwa zinaongeza nguvu kwenye mambo yetu yale, sasa hapa jk sijui walimfikiriaje?

wamfikirie kama mchakachuaji na mchakachuliwa ni yule aliyelalamika kuchakachuliwa.
 
Back
Top Bottom