Anasema wewe ndio ukampe limbwata etiRafiki na wewe unaniita kabisa nikapewe limbwata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaaaaaisee, kumbe bado kuna wanaume limbwata bado linawaendesha katika mahusiano, hatari sana hii.
Yaan nilivyokua sijiwezi kwako , libwata litanimaliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.
HahahahaKuna mmoja alipewa mayai ya ndege aliambiwa yasionwe na mtu awe atupa yai moja kila siku kwa siku saba. Amefika nyumbani tu mama mkwe amempokea begi. Lilimzidi uzito likaanguka mayai saba yalipasuka. Dada alilia sana baada ya safari ya ndege ili mzigo ufike salama
kuna wa nigeria uko kwa mtogoleHapana niko Kwamtogole
Huo unabii naukemea kwa jina la YesuNilikaa na wanawake wa ki-Nigeria tukawa tunapiga stori. Nikiwaambia nyinyi soko la filamu Afrika mmelimudu lakini sinema zenu hazina jipya zaidi ya mapenzi na uchawi. Na inaelekea mnaamini sana uchawi.
Walinijibu kuwa uchawi hasa wa maswala ya mapenzi wao kwao wenye pesa wanaelekezwa Tanzania sehemu za Mtwara, Mozambique na Malawi.
Wameniambia limbwata la sehemu hizo linachukua miaka 800 ku expire. Kwa maana nyingine ni mpaka kifo kiwatenganishe.
Ndugu zangu na sisi tumo kwenye Africa map katika maswala ya limbwata. Msife moyo kuna siku tutakuwa kwenye sector ya science and technology kama watoto wanaopatikana kwenye limbwata watafanya vizuri shuleni.
Kila mtu na 'kibonde' wake, sio yule Ephraim wa CMG.Dahhh kweli maisha hayana formula! Wanigeria wanajulikani kwa upigaji duniani kote, halafu wao wanakuja kupigwa huku 'Ntwara'!!
Hivi ulkumbukuka kumwambia pryanka chopra aache kuntumia text zake simtak ??Bado nippy India
π π π π π kuna Afisa Tarafa mmoja huku ni mbabe hatari, anaunguruma kama simba! Lakini mkewe nyumbani huwa anaogesha watoto na kuwafulia nguoKila mtu na 'kibonde' wake, sio yule Ephraim wa CMG.
Unakuta jamaa home anachapwa na mkewe lakini job akiingia tu watu wanatetemeka bosi mkali kaingia.