Nimesikia huko Mtwara ukishatolewa posa mnakwenda kwa mzee wa busara. Unatafutwa mti mkongwe wa miaka 100+ unausemea “wewe mti ulivyosimama ninakukabidhi ndoa yangu nayo isimame kama wewe ulivyosimama”Mwambie hao wanaijeria wanapigwa tu hakuna mambo ya libwata huko Mtwara wala nini.
Mwambie huko kusini ndio kunaongoza wanawake kuachwa (talaka) kila siku sasa kwanini wasitumie limbwata kuzuia hiyo kitu?
Ni kama vile huku bongo watu wanavyoenda Kigoma na Sumbawanga au watu walivyojazana Samunge kwa babu wa kikombe.
Hadi watu wazito walilishwa majani pori machafu. Ni ubatili tupu!
Dahhh kweli maisha hayana formula! Wanigeria wanajulikani kwa upigaji duniani kote, halafu wao wanakuja kupigwa huku 'Ntwara'!!Mwambie hao wanaijeria wanapigwa tu hakuna mambo ya libwata huko Mtwara wala nini.
Mwambie huko kusini ndio kunaongoza wanawake kuachwa (talaka) kila siku sasa kwanini wasitumie limbwata kuzuia hiyo kitu?
Ni kama vile huku bongo watu wanavyoenda Kigoma na Sumbawanga au watu walivyojazana Samunge kwa babu wa kikombe.
Hadi watu wazito walilishwa majani pori machafu. Ni ubatili tupu!
@Hajar [emoji26] [emoji26]Hajar
Uko wapi unipe libwata aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Hajar
Uko wapi unipe libwata aisee
Rafiki na wewe unaniita kabisa nikatowe limbwata.@Hajar [emoji26] [emoji26]