kumbe tanzania nayo inaunga mkono ushoga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe tanzania nayo inaunga mkono ushoga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ze burner, Nov 11, 2011.

 1. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nionavyo mimi kumbe hata serikali ya tz nayo kwa namna moja au nyengine inaunga mkona ushoga kutokana na hilii.........
  - kwa nini tz ikiwa ni miongoni mwa waasisi wa jumuia ya africa ya mashariki imekubali kukaa na mwanachama anayeunga mkono ushoga.
  - kwa nini tz haikuikemea nchi ya kenya wakati ikijadili na kuunga mkono khabari hii jamani.
  - kama tumeshagundua kosa, kwa nini tusiitenge kenya kwa nguvu zote kama ambazo tunazionesha kwa cameroon.

  Ukweli ni kwamba kenya inawakilisha nchi za africa mashariki kwa ushoga huko duniani. hii inafanya hata hizi kelele zetu kuwa hazina maana dunia ikijiuliza kama kweli tz wanapinga hili mbona jirani zao na wanachama wenzao wa EAC wanallikubali wala hawakuwahi kulikemea.

  au tatizo ni uwaziri mkuu wa cameroon ndiyo kauli yake imekuwa haifai?

  wana jf. tutafakari, tuchukue hatua.
   
Loading...