Kumbe taifa stars imetumika!

Oct 5, 2007
74
1
waungwana wenzangu kuna habari ambazo nimezipata hivi punde; kumbe taifa stars imetumika!
kuna habari za kuaminika kuwa timu ya Taifa ya Tanzania imetumika vilivyo kupenyeza matumizi ambayo sijui niyaweke kundi gani, nadhani ni yaite ni mabaya kwakuwa zimetumika kwa sifa ya kiongozi wa serikali Rais, ili imuongezee umaarufu. naomba nieleweke sipingi wachezaji wetu kupewa pesa na mazoezi nje ya nchi kwa heshima ya nchi, japo zilikuwa zikitumika kwa nia njema lakini matumizi mabaya, kuna habari kuwa serikali kwa kuwaogopa wapinzani walitumbukiza pesa za kodi zetu kwa ufadhili kwenye kampuni ya bia "serengeti breweries" na NMB ili iwe njia rahisi ya kupata pesa hizo bila wanaojali hii nchi (wapinzani)kuhoji!
hata juhudi zao za wizara kusimamia mapato ya uwanja mpya ili kuwa ni kujaribu kulipa pengo la pesa zilizotumika huko, hata kumbe matumizi ya uwanja mpya kabla kukamilika yalikuwa na lengo la kisiasa naendelea kufuatilia kwa undani zaidi.

inasadikiwa hata mgongano wa maelezo ya jaji bomani ni kujaribu kupunguza joto la mambo ambayo yangeibuka baada ya kuongea utumbo wake katika gazeti gwiji la propaganda za CCM RAI.

naendelea kukamilisha njia zilizotumika kuingiza pesa zetu kwa hao wadhamini, na kujua ni zote zilikuwa zikirudia Taifa stars ama kuna mlango umetumika kupitisha nje ya malengo hayo?

changia kwa muendelezo kama una habari hii ili tuibue kitu kingine.
 
Maneno kama haya yangewezwaletwa hapa na mtu yeyote,,, lakini tunatumaini kwamba mtu anayefika mahali kuamua kuanzisha thread lazima awe na ushahidi,,,

Nimesoma sijaona kitu,,, au tuchukulie burudani za weekend,,, nakumbuka sana kwamba serikali ndio iliyokuwa haitaki kutumia uwanja mpya kabla ya kukabidhiwa na TFF ndio walikuwa wanaomba kwa msisitizo...

Nakumbuka matumizi hayo ya mapato ni TFF ndio wanahusika,,, sasa kama TFF ni chama cha siasa haya tutayafahamu lakini siamini hivyo...

Kwamba NMB ni kama NBC au CRDB ya miaka hiyo,,, siwezi amini huo upuuzi,,, NMB sasa hivi inafuata well structured corporate governance hawawezi kufanya upumbavu wa vifedha vidogo vidogo ambavyo havina maana yoyote...

Anyway tusubiri ushahidi!
 
hata slaa bado serikali wanasema hana ushahidi, watanzania tumezoeshwa pipi tukijaribu kupewa pilipili ili muwashwe kwa uzalendo hautaki, lakini kama umeamua kutokukubaliana nami ili tuibue matumizi mabaya ya kodi zetu poa. najua upeo wako unaweza ukawa ni mkubwa lakini hutaki kuwajibika, usifikirie kuwa ni rahisi sanan raia kama mimi kuamka na kurusha kitu hewani bila kitu!

nakujibu sasa.
matumizi ya uwanja yalikuwa ni lazima yaombwe na TFF kwa procedure labda kama hujui utaratibu maana bado ulikuwa uko kwa wachina maana TFF haina mamlaka zaidi ya wizara halafu maombi yalitoka kwa watu waliokuwa wabunge sio raia kama mimi na wewe sasa kwakuwa mimi nalijua hili kuwa TFF waliambiwa tu kuwa wataruhusiwa kuutumia bila kuuharibu zingatia nani aliongoza hiyo tume sio TFF bali mkurugenzi HENRI TNDAU.

kuhusu mapato mliwashambulia sana TFF hawakuhusika maskini wa watu, aliyehusika alikuwa ni serikali mengine yalikuwa yawe hivyo ili muamini kuwa serikali inajali protocol!
mifano: tiketi zote ziliuzwa posta mali ya serikali ulisikia TFF wametangaza zabuni za kuuza tiketi? posta ililazimishwa na serikali kupitia wizara ya miundo mbinu kufanya hilo.

aliyehusika kukusanya mapato walikuwa ni wizara ya habari utamaduni na michezo, ndio maana hata ukiritimba mwingi ulikuwepo na TFF hawakuwa na majibu kuhusu kuboronga kwa taratibu.

jiulize TAKUKURU ilitaka kujiuliza wizi au rushwa gani wakati serikali ndio ilikuwa inahusika? walitaka kutuzuga changa la macho, nakuhakikishia uliza kokote pesa zilikuwa ni za wizara, uliza leo mapato yote na pesa za maegesho ya magari ukipata jumla nipe jibu.

niambie mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo na kama utapewa mengine ni katika mabano. sidhani kama unanielewa ila jitahidi usome taratibu utapata majibu, nataka kufikisha ujumbe gani.

uwanja huo ni mali ya serikali sio TFF lazima waombe tu!

kuhusu NMB kutotumika kuwa eti ni pesa ndogo zilizotumika hujui pesa zote zilizotumika katika ufadhili wa Taifa stars hebu jiulize tangu timu hiyo iwe kambini safari ngapi za nje zimefanyika, hivi unajua mtaji wa NMB? ama unarukaruka tu?

unajua mauzo ya serengeti breweries na mtaji wao? huwezi suka deal na kampuni chovu nadhani unalingine lakini sio uliyoyasema.

tafuta magazeti halafu jiridhishe ufadhili wa serengeti breweries kwa taifa stars ni wa miaka mingapi na wa shilingi ngapi!

nakuongeza lingine unajua ni kodi kiasi gani itasamehewa kwa breweries kuisaidia taifa stars? haya ndiyo mambo mazito unayopaswa kutafuta ili kujua usikatae kama huna rekodi maana utakuwa hutaki kukwamua nchi yako!

nimepitia majibu yako katika mambo mbalimbali humu kwenye mtandao, nahisi unahitaji ukombozi unajibu kifufupi na mengi ni uoga na kutokujithamini, nadhani jenga hoja ili tukupe mambo mengi.
 
Hivi munafahamu athari za UDAKU/TUHUMA ambazo hazina ukweli zinasababisha VIFO vingi hapa nchini kwetu?
 
Nina wasi wasi Kiltime ni msemaji wa Serikali ama CCM ila hataki kujitambulisha . Yes najua kwamba Taifa Stars ilikuwa inatumika kwa njia nyingi sana ila hili la pesa sikulijua ila kisiasa JK used it as his weapons tena ya Mass Destruction
 
Kimbembe we ndo unagundua leo.Hapa kuna baadhi ya watu hawakosi sababu katika kila kitu.Watu wakiandika issue utasikia lete ushahidi,wakiletewa ushahidi utasikia tutajuaje kama ushahidi wako ni wa kweli. Mshamba mwaga vitu bwana.Hawa viongozi wetu namna walivyooza kila kitu ni possible.Unafikiri kwanini "Majaji wastaafu" wanajaribu kupoza mambo?? Wanajua kuna utumbo zaidi ya huu tunaoufahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom