Mshamba wa Kijijini
Member
- Oct 5, 2007
- 74
- 1
waungwana wenzangu kuna habari ambazo nimezipata hivi punde; kumbe taifa stars imetumika!
kuna habari za kuaminika kuwa timu ya Taifa ya Tanzania imetumika vilivyo kupenyeza matumizi ambayo sijui niyaweke kundi gani, nadhani ni yaite ni mabaya kwakuwa zimetumika kwa sifa ya kiongozi wa serikali Rais, ili imuongezee umaarufu. naomba nieleweke sipingi wachezaji wetu kupewa pesa na mazoezi nje ya nchi kwa heshima ya nchi, japo zilikuwa zikitumika kwa nia njema lakini matumizi mabaya, kuna habari kuwa serikali kwa kuwaogopa wapinzani walitumbukiza pesa za kodi zetu kwa ufadhili kwenye kampuni ya bia "serengeti breweries" na NMB ili iwe njia rahisi ya kupata pesa hizo bila wanaojali hii nchi (wapinzani)kuhoji!
hata juhudi zao za wizara kusimamia mapato ya uwanja mpya ili kuwa ni kujaribu kulipa pengo la pesa zilizotumika huko, hata kumbe matumizi ya uwanja mpya kabla kukamilika yalikuwa na lengo la kisiasa naendelea kufuatilia kwa undani zaidi.
inasadikiwa hata mgongano wa maelezo ya jaji bomani ni kujaribu kupunguza joto la mambo ambayo yangeibuka baada ya kuongea utumbo wake katika gazeti gwiji la propaganda za CCM RAI.
naendelea kukamilisha njia zilizotumika kuingiza pesa zetu kwa hao wadhamini, na kujua ni zote zilikuwa zikirudia Taifa stars ama kuna mlango umetumika kupitisha nje ya malengo hayo?
changia kwa muendelezo kama una habari hii ili tuibue kitu kingine.