Kumbe Sitta aliwahi kumsomesha Zitto

Kumbe Sitta aliwahi kumsomesha Zitto

Zitto anastahili kuhojiwa na magazeti pendwa and there is where he belongs. Anamtoto na hajaoa huyu kweli ana maadili ? Ina maana kamtelekeza mzazi mwenzie

Mbona slaa Anaendelea watoto na hajaoa, je anamaadili?
Kakimbia upadri akao ndoa ikamshinda kutokana na uzinzi akaamua kutelekeza familia akazaa na mke wa mtu. Hayo Ndio maadili?

MBOWE kazaa na mukya na katelekeza familia yake.
Hayo Ndio maadili?


NYANI HAONI KUNDULE
 
Back
Top Bottom