Kumbe Sitta aliwahi kumsomesha Zitto

Kumbe Sitta aliwahi kumsomesha Zitto

Zitto anastahili kuhojiwa na magazeti pendwa and there is where he belongs. Anamtoto na hajaoa huyu kweli ana maadili ? Ina maana kamtelekeza mzazi mwenzie
 
Hivi kweli ni ajabu Freeman Mbowe kumsomesha mtoto wa kada wa ccm..kama hana uwezo...siasa inawachanganya sana wanasiasa wachanga!,,,,,?

who are overrun by emotion and hunger for cheap success!tamaa na ushabiki wao unaficha macho yao ya ki weledi wasione zuri lolote linaloweza kutokea katikati ya yale ambao wao wanayachukulia kama mabaya!
 
Maelezo mazuri sana hayo na ndo viongozi tunaowataka wanaojua kujieleza vizuri. Hivi unaweza kufanya mahojiano na MBOWE ukapata historia yake na maelezo mazuri yaliyopangiliwa kisomi kama haya ya Zitto???

Zitto alistahili kuwa kiongozi au Seneta kwenye majimbo kama NEW YORK.
Najua vijibaroho roho zinawauma sana kila muonapo andishi la zitto.

Hivi Mbowe kuna mahala ashawahi kuielezea historia yake ya maisha? Hivi mbowe kuna sehemu ashawahi kutoa hata mchango wa mawazo hata kwenye mitandao ya kijamii au hata kwenye kipeperushi chake cha Tanzania Daima???
 
zito kabwe ni great thinker, ila kuhusu swala la Alexander ndeki kutokea tabora nazani amechanganya kwani jamaa alikuwa anatokea mkoa wa arusha ( sasa ni manyara) wilaya ya mbulu kijiji cha dongobesh, jamaa kwa sasa ni marehemu, alikuwa kamishna wa elimu tz
 
role model wangu Zitto kabwe, nitachangia baada ya kusoma mahojiano yake na mwananchi kwa utulivu wknd hii, na pia kupitia mahojiano yake na Salama katika kipindi cha Mkasi, then nitakuwa na uwanja mpana wa kuchambua na kisha kucoment machache ila kwa ufupi nahitaji kujiridhisha, ila chadema ni kosa kubwa sana kumuacha huyu mtu nje ya chama chenu, zito ni kiongozi na kijana makini kwa kifupi
 
mwenye cv ya huyu jamaa atuwekee inisaidie katika uchambuzi wangu
 
Ana hoja ya msingi na cdm walikosea kumfukuza unajua watu tricky kama hwa ni treasury sometimes huwa wanasaidia sana pale haja inapokuja!Anajenga hoja na anaitetea hoja tofauti na watu wanaoongozwa na ndio mzee ili kuwa binadamu lazima uwe una-reason ndio tofauti ya binadamu na mnyama suala la kwanini lazima uliweke mbele uachane na mtazamo wa waswahili eti kwanini mwanzo wa ugomvi!Ukipata jibu la kwanini na kuridhika ndio unapanga mipango mingine ya mbele!Mm namkubali Zitto na hoja zake ingawa kuna maeneo huwa nahoji kwanini amefanya hivyo kea mfano kwanini alikimbilia mahakamani ila nilipopaya jibu kuwa bila ya kufanya vile wangemtimua ndani ya chama na kukosa uhalali wwte!!!
 
Zitto anastahili kuhojiwa na magazeti pendwa and there is where he belongs. Anamtoto na hajaoa huyu kweli ana maadili ? Ina maana kamtelekeza mzazi mwenzie

kuzaa bila ndoa haimaanishi kumtelekeza mwenzi, hapo naona una tengeneza assumption isiyo na mashiko. kwa upande mwingine kuna watu kama Mbowe ambao wana ndoa zao, lakini wanazaa nje na wabunge wa viti maalum. Huko ni kukosa maadili sio kwenye ndoa zao bali hata ndani ya chama
 
yaani chadema watu wenye uwezo wa kijenga hoja na kueleweka ni zitto na slaa waliobaki ni bendela fuata upepo ....yaani zidumu fikra za mwenyekiti
 
"Sitta ndiye aliyenisomesha kidato cha tano na sita. Wakati huo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na ofisi yake ilikuwa jirani na jengo la Benjamin Mkapa Tower. Nilienda ofisini kwake na kumwambia kuwa nataka kuhama kwa sababu kule Galanos hakuna walimu, nikamwambia nataka kusoma hesabu kwa sababu nilikuwa nachukua masomo ya Historia, Jiografia na Uchumi (HGE) na nilitaka kubadilisha na kusoma uchumi, jiografia na hesabu (EGM). Kutokana na Sitta kufurahishwa na matokeo yangu, kila likizo kabla sijaenda shule nilikuwa napita kwake na alinipatia ada na fedha za matumizi, kuanzia kidato cha tano hadi sita na baadaye tulikuja kukutana naye bungeni"-Zitto
=======================================



Chanzo:Mwananchi

Zitto, acha watanzania wafuatilie mambo ya katiba, historia yako haina maana tena. otherwise, utaendelea kudadavua hadi story za chumbani kwenu!
 
Green naona hufahamu maana ya mahojiano coz zitto alikuwa ana respond kwenye maswali aliyo kuwa akiulizwa.
 
tumekuskia MM toleo lijalo tupe story ya diva wa clouds
 
Maelezo mazuri sana hayo na ndo viongozi tunaowataka wanaojua kujieleza vizuri. Hivi unaweza kufanya mahojiano na MBOWE ukapata historia yake na maelezo mazuri yaliyopangiliwa kisomi kama haya ya Zitto???

Zitto alistahili kuwa kiongozi au Seneta kwenye majimbo kama NEW YORK.
Najua vijibaroho roho zinawauma sana kila muonapo andishi la zitto.

Hivi Mbowe kuna mahala ashawahi kuielezea historia yake ya maisha? Hivi mbowe kuna sehemu ashawahi kutoa hata mchango wa mawazo hata kwenye mitandao ya kijamii au hata kwenye kipeperushi chake cha Tanzania Daima???

Seneta wa wazoa mavi
 
NASIKIA JAMAA MWAKA WA KWANZA HADI TATU CHUO ALIKUA CHUMBA KIMOJA NA RIZMOKO:angry::angry::angry:
 
Back
Top Bottom