Kumbe si kwenye soka tu....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe si kwenye soka tu.......

Discussion in 'Sports' started by Anselm, Aug 22, 2012.

 1. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilifikiria kuwa Mzee wa Bastola ana matatizo ya kuwadanganya wadau(wapenzi na wanachama) wa Simba tu, kumbe hata kwenye nyanja nyingine,My GOD....
  Kauli yake ya kuwaambia Uma wa wapiga kura wa Igunga kwenye mkutano mmoja wa Kampeni wakati akimpigia debe Mgomba wa CCM kuwa Mgombea wa Chadema alishajitoa inafanana kabisa na hizi zifuatazo:-
  1. Tumefikia hatua nzuri katika usajili wa Asamoah(Keneth), wana Simba jiandaeni kumpokea
  2. Tumeshamsajili Nizar Khalfani, tutamtambulisha kwenye Tamasha la Simba pale Dar Live
  3. Tumeshamaliza kila kitu kinachohusiana na usajili wa Mbuyu Twite, Twite sasa ni mali ya Simba,atakuwepo na atacheza kwenye Simba day
  4. Tumeshamuuza Okwi kwa Euro kadhaa
  5. Tutajenga ndani ya muda mfupi uwanja wa kisasa wa Simba
  6. Mtoto wa Kigogo ndo aliyem'sainisha Mbuyu wetu kule Kigali.
  7. Etc,etc

  Huko kwenye siasa watu wameshamshtukia na ndo maana watu wametumia uongo wake huo kama 1 ya silaha zilizotengua ushindi wa Mshindi, siku watakapokuja kushtuka huku kwenye soka ndo utakuwa mwisho wa huyu Mzee msema uongo.
   
 2. Transkei

  Transkei Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aaaaaa!!! kijana mwenyekiti wetu ni mtu makini that's why prezo wa TFF amemuomba asiresign coz ni mtu muhimu sana kwenye soka letu la bongo!!! pili,wazee wa jangwani hamumjui vizuri manji hana mapenzi ya dhati na yanga yule ni mtu wa 'nothing should goes for nothing' mkija stuka chaliiiiiii!!!!
   
 3. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Umesahau moja.. SimbaSC5_0Yanga.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  huji ni mtu wa kuwapa wapinzani ushindi.Katokea igunga CDM wamenchomoa mbunge, kaingia simba alichoweza fanya ni kuwatibulia enyimba tuu na kuiacha simba inyukwe round iliyofuatia, sasa ni kupoteza mbele ya Yanga tuu.Simba iachane na biashara ya kutumia mihela kibao katik usajili badala yake iongeze katik mishahara, kuendelea kuza vipaji, na kuchukua wachezaji wasio na mitandao ya wanazi .Hawa wachezaji waliopo kwa maslahi ya wanazi huwa hawafundishiki kwani kazi yao ni kucheza siasa na si mpira
   
Loading...