Kidogo-kidogo wanajifunza...

Kidogo-kidogo wanajifunza...

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Mwanzo walikuwa wanasajili hivi:-

photo(1).JPG
Mwenyekiti wa Simba akimsainisha Mbuyi Twite.
Hapa wamemaliza kazi,

Walipoona wenzao wanasajili hivi:-
Huo ndio mkataba.jpg

Kisha wana:-
IMG-20120805-WA003.jpg
Ushahidi wa mchana kweupee,

Na wao sasa wameanza:-
20120815_173028.jpg

Na kufikia mpaka huku:-
1.jpg

Naam hawa ndo Simba SC Mabingwa wa soka Tanzania ambao kwa kipindi cha hivi karibuni wamekuwa wakijaribu kuiga kila wanachofanya Kaka zao Dar Young Africans Mabingwa wa soka ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na kati(Tanzania included)
Wameiga mengi sana,baadhi ni:-
Yanga ilipomchukua Kocha Kondic toka Serbia,Simba walimtafuta Milovan awamu ile ya kwanza.
Yanga ilipokwenda Uganda kumchukua Sam Timbe,Simba waka'do the same kwa kumchukua Mganda Moses Basena
Yanga ilivyomtimua Timbe na kurudiana na Papic(Mserbia),Simba na wenyewe wakamtimua Basena na kurudiana na Milovan(Mserbia).
Kuiga huku hakukuishia kwa makocha tu,kumekwenda hadi kwa Wachezaji Yanga walivyomsajili Davies Mwape(Mzambia) Simba wakatafuta Mzambia wao na kuangukia kwa Felix Sunzu, mwape ameachwa Yanga nafikiri kwenye dirisha dogo la usajili Simba wata'copy tena kwa Sunzu wao.
Ni jambo 1 tu ambalo Simba wamekuwa waki'struggle kuiga kwa miongo kadhaa sasa lkn wameshindwa nalo ni kutwaa Ubingwa wa Africa ya Mashariki katika ardhi za nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

All in all sifa pekee zimwendee Mpiganaji Abdalah Bin Kleb kwa kazi zake nzuri za kuwafunza Viongozi wa Simba namna ya kusajili kisomi,kwa mwamko huu wa kuiga yaliyo mema bila shaka msimu wa usajili wa mwakani Alhaj Rage atapunguza sana makosa yake ya kukosea wamiliki halali wa wachezaji wanaotaka kuwasajili baada ya kuchemka kwa Asamoah mwaka jana na Twite mwaka huu.

Nawasilisha!
 
Mwanzo walikuwa wanasajili hivi:-

View attachment 61995
Mwenyekiti wa Simba akimsainisha Mbuyi Twite.
Hapa wamemaliza kazi,

Walipoona wenzao wanasajili hivi:-
View attachment 61997

Kisha wana:-
View attachment 61998
Ushahidi wa mchana kweupee,

Na wao sasa wameanza:-
View attachment 61999

Na kufikia mpaka huku:-
View attachment 62000

Naam hawa ndo Simba SC Mabingwa wa soka Tanzania ambao kwa kipindi cha hivi karibuni wamekuwa wakijaribu kuiga kila wanachofanya Kaka zao Dar Young Africans Mabingwa wa soka ukanda mzima wa Africa ya Mashariki na kati(Tanzania included)
Wameiga mengi sana,baadhi ni:-
Yanga ilipomchukua Kocha Kondic toka Serbia,Simba walimtafuta Milovan awamu ile ya kwanza.
Yanga ilipokwenda Uganda kumchukua Sam Timbe,Simba waka'do the same kwa kumchukua Mganda Moses Basena
Yanga ilivyomtimua Timbe na kurudiana na Papic(Mserbia),Simba na wenyewe wakamtimua Basena na kurudiana na Milovan(Mserbia).
Kuiga huku hakukuishia kwa makocha tu,kumekwenda hadi kwa Wachezaji Yanga walivyomsajili Davies Mwape(Mzambia) Simba wakatafuta Mzambia wao na kuangukia kwa Felix Sunzu, mwape ameachwa Yanga nafikiri kwenye dirisha dogo la usajili Simba wata'copy tena kwa Sunzu wao.
Ni jambo 1 tu ambalo Simba wamekuwa waki'struggle kuiga kwa miongo kadhaa sasa lkn wameshindwa nalo ni kutwaa Ubingwa wa Africa ya Mashariki katika ardhi za nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

All in all sifa pekee zimwendee Mpiganaji Abdalah Bin Kleb kwa kazi zake nzuri za kuwafunza Viongozi wa Simba namna ya kusajili kisomi,kwa mwamko huu wa kuiga yaliyo mema bila shaka msimu wa usajili wa mwakani Alhaj Rage atapunguza sana makosa yake ya kukosea wamiliki halali wa wachezaji wanaotaka kuwasajili baada ya kuchemka kwa Asamoah mwaka jana na Twite mwaka huu.

Nawasilisha!

ha ha ha ha..hivi hasira huwa haziishi dah!
 
ha ha ha ha..hivi hasira huwa haziishi dah!

Ni swali zuri kwa Viongozi wa juu wa Simba Rage,Kaburu na Msemaji(ovyo) wao Kamwaga, najua wanapitaga humu,wanaweza kutusaidia kujibu hata kama ni kimoyomoyo sisi wengine tusisikie.
 
ni swali zuri kwa viongozi wa juu wa simba rage,kaburu na msemaji(ovyo) wao kamwaga, najua wanapitaga humu,wanaweza kutusaidia kujibu hata kama ni kimoyomoyo sisi wengine tusisikie.
hebu tia maneno na hapa kidogo...

IMG_1182.JPG
 
Mhe.Rage anatukumbusha enzi zake za FAT iliyokuwa inaendeshwa bila dira wala mwelekeo yaani kisiasa zaidi anashindwa kukumbuka jinsi alivyoponea tundu la sindano kutumikia miaka kadhaa gerezani,sasa anarudia yaleyale katika uongozi wa Simba nashindwa kumuelewa hiyo elimu yake kweli aliipata UDSM? inabidi arudi tena darasani akajikumbushe kwani amepitwa na wakati,mambo yake anayaendesha kama vile mganga wa kienyeji hana mwelekeo yeye kichwani kwake anafikiri jinsi atakavyowafunga Yanga au kuwafanya Yanga wamfikirie yeye,huo sio mpira wa kisasa,mpira ni kazi kama zingine zenye fedha nyingi zaidi ya huo ubunge,jifunze uongozi wa soka la kisasa siyo ubaki katika sheria zilezile za FAT ya zamani uliyoiongoza.vijana wanatakata mpira fedha siyo majigambo na matangazo ya magazetini kila kukicha.
 
Simba kwa kuiga tu kwa kweli hawajambo....hivi na zile tano nazo waliziiga kwa Yanga?:A S-coffee:
 
Mbona nyie mnashindwa kuiga zile 5 kwa 0.?

Sisi siyo wa kuigaiga wewe,si ungeona nasisi tume'msainisha mtu kwa kumshika bega, sisi tutakuja na kipigo chetu cha tofauti kabisa wenyewe hamtaamini
 
sisi tutakuja na kipigo chetu cha tofauti kabisa wenyewe hamtaamini
Nyie hata mkicheza na Simba Queens hamuwezi toa kipigo cha kutoamini labda mcheze na timu ya wabunge wa Simba kina Idd Azzan ndo mtatoa kipigo cha kutoamini.
 
"Unasikia wewe Chidi,mpira unautuliza hivi.....lazima uhakikishe unauweka kwenye himaya yako"
kila mtu amesha prove...kuwa we ni vuvuzela....maana Sendeu ndo msemaji wao....nafas yako iko wapi......ongelea matatizo yenu ..........
 
Yanga sijui ki2 ambacho huwa kinawafanya muwe na midomo mirefu make achievement zenu ni za chin na za kawaida sana lakin mnavyochonga! Ama kweli nyie CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom