kwani kuna mtu hapendi kusoma feza? Toa pepa ile inayofuata syllabus uone!Eti Ndo wapambane na tabora boys kwa vibunda au ilboru au kisimili Hahahaa basi bwana kisa pesa tu hawana lolote hao
Nenda na hela zako tuone kama watakuchua, tutajie nani kaenda pale kwa fedha tu na sio uwezo wa mitihani wanayopewa?Yaani nichogundua wanapelekwa pale kwa umaarufu wa pesa za wazazi wao ila vichwani ziro.
Nenda na hela zako tuone kama watakuchua, tutajie nani kaenda pale kwa fedha tu na sio uwezo wa mitihani wanayopewa?
Unawajua wanafunzi wa Feza wako wapi baada ya form 4 na 6?
kwani kuna mtu hapendi kusoma feza? Toa pepa ile inayofuata syllabus uone!
Kwanza hujui hata alikoanzia, yule binti alikuwa Kifungilo Girls then akaenda feza girls baada ya usumbufu wake huko kwa masister ambao hawataki ujinga na kujifanya wewe mtoto wa nani, yeye mwenyewe ndio alikuwa hataki shule ile kabisa na lengo lake lilikuwa ni kwenda UK na sio kusoma necta system kabisa. Na kwa matokeo yake yale mabovu yalimpeleka alikokuwa anaota.Kwa hiyo Mwanaasha Kikwete alienda pale kwa uwezo wake?
Sasa mbona matokeo yake yalikuwa tofauti na ya wenzake?
Ni pesa na status ya wazee tu.