Kumbe Rwanda Bureeeeee!

Rwanda ni kama mkoa wa Dodoma!

sasa utalinganisha Dodoma na nchi nzima ya Tanzania?
 
Binafsi hata sielewi ni kitu gani amabcho rwanda inasifiwa kimaendeleo.... Kwa wale waliowahi fika rwanda watakubaliana sana nami..rwanda ni bado sana kimaendeleo... Kigali yenyewe ndo inajengwa sasa ukipita wakati huu ndo unaona vijighorofa ndo vinajengwa..maisha ya rwanda ni magumu sana ..fika rwanda ongea na wananchi wa kawaida watakuambia wamebanwa sana sana...
Ukija kuniambia swala la usafi hapo naweza kubaliana na wewe kuwa kweli hasa jiji la kigari ni safi wamejitaidi katika hilo. Na huo usafi upo kigali tu lakini maeneo mengine hakuna kitu.
Kimaendeleo rwanda haiwezi ifika hata arusha au mwanza yani ni kiduchu sana .
 

Wewe pia mawazo yako ni mgando ni sawa na wazee wa TANU, wanaofikri ukubwa wa nchi ni threat wakati ni opportunity.Bahati mbaya muhimu kuna watu wakijua kusoma na kuandika wanafikiri wameweza kuexplore all knolweldge wealth.
 
Hivi kweli wtz ni wapumbafu wamburula jitu umekaa unajisifia kw rwnd c ukum huu jilinganish na wakenya size yk kihistory
 
ndugu yangu hayo ni maneno tu ya watanzania ambao hatuna tabia ya kufuatilia mambo na badala yake wanatumiwa kujazwa maelezo yasiyo na takwimu. wapo walioweza kuongea hata bungeni akiwemo mheshimiwa sugu kwamba TZ ni second kwa umasikini. World's Poorest Countries | FactMonster.com hii ni moja ya report but waweza kusearch other sources.

mbali ya kenya, Tanzania inawaacha mbali nchi zingine za east africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…