Hivi we Kijakazi umewahi kufika Rwanda?Au umedadisi kuhusu nchi hii ndogo na ukapata linalohusu umeme ukaona umemaliza kuhusu Maendeleo ya Rwanda?
Heri kagame x100 kuliko Jk..
GDP inachangia kujua thamani ya uchumi wa nchi sikatai,ila inapatikana kwa kugawanya pato la taifa kwa idadi ya watu,,sasa linganisha millioni kumi na millioni arobaini na tano,,mwanza pekee inatumia 43mw per day,,,
Maendeleo ni ya watu na sio vitu kama Vasco Dagama anavyowapoteza wadanganyika kuwa foleni za magari barabarani ni maendeleo!!!
per capital income.USD
RWANDA-580.
Tanzania-550.
Southafrica-8342.
Gabon-10,980.
Shelisheli-11,117.
Haina maana kuwa gabon iko juu kimaendeleo kuliko africakusini.
Hata Qatar per capital income yake iko juu kuzidi nchi yeyote ikiwemo marekani.
GDP ya tanzania huwezi linganisha na ya rwanda,ya tanzania iko juu.
GDP ya nchi ndogo kama israel licha ya kuwa na watu milioni nane tu,inaizidi GDP ya Tanzania maradufu.kwasababu ni nchi iliyopiga hatua kiuchumi.
Wakati Rwanda ina watu milioni kumi GDP yake inazidiwa maradufu na GDP ya Tanzania.
Huyu mtu hajasoma uchumi, mwache! Kama RwF 630 = 1USD, na Tsh 1660= 1USD halafu mtu anasema ni bureeeee!! Hamna kitu hapo usitoke povu utajichosha bure tu!! Ukizungumzia GDP ndio unamvuruga kabisaaa!!
hizi figure hapo juu umezitoa wapi!!! Google per capital income by cia utaona tz ni usd 1600, rwanda usd 1500, kenya usd 1700 inayoongoza ni qatar yenye per capital income ya usd zaidi ya 100000.
Exchange rate haimaanishi uchumi mxuri. Please revisit the books
Mi nadhan topic haikuwa na maana ya kulinganisha Tz na Rwanda kiuchumi ila ni kinachozungumziwa Rwanda ni namna walivyopita katika kipindi kigumu na wakakuwa kwa kasi Taifa ni kama lina miaka 19 limetoka vitani na walau limefika hapo walipofikia sasa hyo kasi ya maendeleo ndio inayozungumziwa ila mkianza kujadili kwa kulinganisha na Tz mnapoteza muda wenu tu Tz imekuwapo miaka mingi na ina vigezo vya kiuchumi,kikubwa ni kukubali kwammba Rwanda imeenda kasi sana kujiletea maendeleo na si kuanza kulinganisha Tz na Rwanda.
hizi figure hapo juu umezitoa wapi!!! Google per capital income by cia utaona tz ni usd 1600, rwanda usd 1500, kenya usd 1700 inayoongoza ni qatar yenye per capital income ya usd zaidi ya 100000.
Nimekuwa nikisia makelele meengi kuhusu hii nchi ya Rwanda kwamba ndio mfano wa kuigwa na blah blah nyingi, nikataka niijue zaidi, kumbe hamna chochote hii nchi ina watu zaidi ya
Milioni 10 na uwezo wao wa kuzalisha Umeme ni Megawatt 80 MW tu!!!! nimepigwa na Butwaaa sasa hizo kelele zote za Bw.Kagame hivi Kagame vile ni za nini?
Maendeleao gani hayo yanayoongelewa huko Rwanda kama watu milioni 10 hawawezi kutumia MW 80 za umeme?
Au labda tafsiri ya maendelo imebadilika? au kufagia barabara hapo Kigali ndio maendeleo, hakika hawa jamaa wanasifiwa bureeee tumewaacha mbali saaana, duh Megawati 80 watu milioni zaidi ya milioni 10!

Mkuu sources za data zinachanganya kidogo lakini data za Miaghay ni sahihi nilimsikiliza Beno ndulu Per capital income yetu ni hiyo hiyo
What Really Happened in Rwanda?Hivi mpaka unapoandika thread hii KAGAME keshaua watu wangapi? Do you have figure please to substantiate your allegations??
Huyu mtu hajasoma uchumi, mwache! Kama RwF 630 = 1USD, na Tsh 1660= 1USD halafu mtu anasema ni bureeeee!! Hamna kitu hapo usitoke povu utajichosha bure tu!! Ukizungumzia GDP ndio unamvuruga kabisaaa!!
yawezekana umeme wao una boosteryaani hiyo MW 80 ndio matumizi ya Umeme ya Rwanda kwa watu zaidi ya milioni 10, maanake changanya kila kitu, kila Nyumba ikiwasha taa, kila kiwanda kikizalisha kwa kiwango cha juu, watu wote wakiwa kazini mchana na viyoyozi na kila kitu, wachomea welding wakifanya kazi, mafundi gereji wakiwa kazini n.k ndio wanagonga hapo kwenye MW 80, yaani siku MM steel yetu akitaka kuhamishia kiwanda chake Rwanda nchi nzima itazima kwa kukosa Umeme, yaani huo ni umeme labda wa Wazo Cement na MM steel tu!
nimekupa source u google cia per capital income, wewe unanukulu maneno ya ndulu, nipe source