Mahitaji yao nimeshakwambia hawagoti MW 80, na unaposema Rwanda ni ndogo ujue unaongelea kieneo lkn sio kwa idadi ya watu, ujue wana km za mraba 20,000 yaani serengeti yetu ni kubwa zaidi na wana watu Zaidi ya milioni kumi 10, na sisi tu km za Mraba karibu milioni moja tuna watu milioni 40! sasa watu milioni 10 kwa kutumia MW 80 kwa kiwango chochote kile ni ndogo sana! Wazo Cement hawawezi kuwekeza Rwanda leo hii kwa maana hamna Umeme!
Hivi mpaka unapoandika thread hii KAGAME keshaua watu wangapi? Do you have figure please to substantiate your allegations??Kagame kuuwa watu ndicho kinacho msaidia vinginevyo asingekuwepo madarakani.
Hiyo ni hesabu rahisi kujua nani anafanya vizuri, japan wame devalue pesa yao waweze kufanya biashara na Africa that's all! Lakini huwezi kuilinganisha Rwanda nchi iliyopitia GENOCIDE ikasambaratika kwa maana ya kusambaratika, leo walipofikia hapo uzungumzie 80 MEGAWATI kwamba hawako vizuri kiuchumi!! Daktari wa Rwanda analipwa karibu Tsh 3,000,000/- ya Tanzania nyie wa kwenu mnamlipa ngapi? Walijifunza Tanzania mambo ya Health Insurance, leo wako zaidi ya 90% coverage wakati bongo hata 20% hamjafika!! Tanzania tuna all resources ila tatizo hatuna viongozi bali tuna watawala!! Na kama umegundua kila kitu kitu kinachoanzishwa Tanzania kina collapse sijui kama umewahi kujiuliza hilo swali..!! Ndio maana kila mtu akipata upenyo anaiba!! IKULU inaiba, mwananchi wa kawaida anaiba! That is Tanzania, that is bongoland!!
Huyu mtu hajasoma uchumi, mwache! Kama RwF 630 = 1USD, na Tsh 1660= 1USD halafu mtu anasema ni bureeeee!! Hamna kitu hapo usitoke povu utajichosha bure tu!! Ukizungumzia GDP ndio unamvuruga kabisaaa!!
8 January 2013 - Rwanda currently generates some 110 MW of electricity, but the country's government is determined to ensure that this reaches 1,000 MW by 2017. Amongst other things it will help facilitate the target of 70% of the population gaining access to electricity over that period. In 2009 only 7 % of Rwandans had access to electricity and in rural areas where the majority of the country's 10 million people still live this figure was only 1%
I believe in Kagama najua atayafikia hayo malengo...na angekua na dude kama lile la Rufiji au gas, only God knows
8 January 2013 - Rwanda currently generates some 110 MW of electricity, but the countrys government is determined to ensure that this reaches 1,000 MW by 2017. Amongst other things it will help facilitate the target of 70% of the population gaining access to electricity over that period. In 2009 only 7 % of Rwandans had access to electricity and in rural areas where the majority of the countrys 10 million people still live this figure was only 1%
I believe in Kagama najua atayafikia hayo malengo...na angekua na dude kama lile la Rufiji au gas, only God knows
Nimekuwa nikisia makelele meengi kuhusu hii nchi ya Rwanda kwamba ndio mfano wa kuigwa na blah blah nyingi, nikataka niijue zaidi, kumbe hamna chochote hii nchi ina watu zaidi ya
Milioni 10 na uwezo wao wa kuzalisha Umeme ni Megawatt 80 MW tu!!!! nimepigwa na Butwaaa sasa hizo kelele zote za Bw.Kagame hivi Kagame vile ni za nini?
Maendeleao gani hayo yanayoongelewa huko Rwanda kama watu milioni 10 hawawezi kutumia MW 80 za umeme?
Au labda tafsiri ya maendelo imebadilika? au kufagia barabara hapo Kigali ndio maendeleo, hakika hawa jamaa wanasifiwa bureeee tumewaacha mbali saaana, duh Megawati 80 watu milioni zaidi ya milioni 10!
Mahitaji yao nimeshakwambia hawagoti MW 80, na unaposema Rwanda ni ndogo ujue unaongelea kieneo lkn sio kwa idadi ya watu, ujue wana km za mraba 20,000 yaani serengeti yetu ni kubwa zaidi na wana watu Zaidi ya milioni kumi 10, na sisi tu km za Mraba karibu milioni moja tuna watu milioni 40! sasa watu milioni 10 kwa kutumia MW 80 kwa kiwango chochote kile ni ndogo sana! Wazo Cement hawawezi kuwekeza Rwanda leo hii kwa maana hamna Umeme!
Mleta uzi sijui hyo 80 kaitoa wapi jamaa wanapambana sana hata mishahara ni mizuri na kuna watanzania wanafanya kazi huko wanaenjoy package nzur kulko huku,ICT wamepga hatua,hakuna ubabaishashaji kwenye public service people are serious na wafanikiwa kudhibiti Rushwa, malaria na Bima ya Afya kwa wakaz wengi.
Kwa nini wapitie genocide kama wao Bora? wangekuwa wajannja wasingefika huko! sisi ambao hatujapitia ndio Wajanja, kwani sisi tulishindwa kuanzisha hiyo genocide, kwa nini hatukuanzisha? si kwa sababu ni wajanja zaidi yao na tuna akili zaidi!
Nimekupa mfano wa Japani kwa sababu wewe umetolea kigezo cha exchange rate kama ndio kigezo cha uchumi mzuri wa Rwanda, na Japani moja kati ya mifano michache tu, kabla ya Euro lira ya Italia ilikuwa ndogo kuliko kashilingi ketu!
Kuhusu Japani wewe hauna uelewa kabisa (inavyoonekana) na haya mambo ingawaje unajiita umesomea Uchumi, Japani washushe fedha yao kwa ajili ya tu kufanya biashara na Afrika?
Unajua ni asilimia ngapi ya Biashara kati ya Afrika na Japani?
Kwa taarifa yako tu biashara kati ya Afrika na Dunia achilia mbali Japani ni asilimia Moja tu 1%, kwa maana nyingine unapoongelea Mambo ya kiuchumi wa Dunia Afrika wala haimo kwa maana tunachangia asilimia 1% ya biashara inayofanyika Duniani(kiuchumi), hivyo Japani hawawezi kushusha fedha kwa ajili ya Afrika!
Nimekuwa nikisia makelele meengi kuhusu hii nchi ya Rwanda kwamba ndio mfano wa kuigwa na blah blah nyingi, nikataka niijue zaidi, kumbe hamna chochote hii nchi ina watu zaidi ya
Milioni 10 na uwezo wao wa kuzalisha Umeme ni Megawatt 80 MW tu!!!! nimepigwa na Butwaaa sasa hizo kelele zote za Bw.Kagame hivi Kagame vile ni za nini?
Maendeleao gani hayo yanayoongelewa huko Rwanda kama watu milioni 10 hawawezi kutumia MW 80 za umeme?
Au labda tafsiri ya maendelo imebadilika? au kufagia barabara hapo Kigali ndio maendeleo, hakika hawa jamaa wanasifiwa bureeee tumewaacha mbali saaana, duh Megawati 80 watu milioni zaidi ya milioni 10!
Watu wengine akili finyu sana! Sasa wewe unacheza kwenye tope halafu unamcheka anayecheza kwenye tope! Unafikia hata hatua ya kuanzisha thread kwa kuonyesha kuwa yule naye ni mjinga kama mimi! Think positively!!
yaani sipati picha Rais kama kikwete ndo anapewa nchi iliyotoka kwenye genocide huku akisaidiwa na magenius wake kina mwigulu na nape...lol....majaanga