Nikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima nikahisi kibuti cha mbali mbali ila kama kawa mabinti wa kiafrika nawajua nikasema nitajaribu tena. Nikajaribu kama mara mbili tena akatosa, nikaanza zangu mbele kwa kujifariji kuwa huwa yanawakuta wanaume.
Hee siku zimeenda kaanza kuniandama, nikajifanya zoba nikawa karibu nae, kipindi baada ya kugundua sasa ni kama kusukuma mlevi nikamuuliza mbona ulikuwa unanitenda vile kipindi kile, akadai alikuwa na mtu. Nikasema mbona usinambie ukweli badala yake ukasingizia unasoma, jibu hamna. Aiiiiii kimoyo moyo nikasema ulikuwa unaniweka mchezaji wa akiba kwanza atumie na huyo halafu ndo badae aje kwangu, na hamu ikakata zaidi
hayo yote ni maswali nilojiuliza na kila jibu kwangu lilikuwa la kunitoa hamu zaidi
Nikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima nikahisi kibuti cha mbali mbali ila kama kawa mabinti wa kiafrika nawajua nikasema nitajaribu tena. Nikajaribu kama mara mbili tena akatosa, nikaanza zangu mbele kwa kujifariji kuwa huwa yanawakuta wanaume.
Hee siku zimeenda kaanza kuniandama, nikajifanya zoba nikawa karibu nae, kipindi baada ya kugundua sasa ni kama kusukuma mlevi nikamuuliza mbona ulikuwa unanitenda vile kipindi kile, akadai alikuwa na mtu. Nikasema mbona usinambie ukweli badala yake ukasingizia unasoma, jibu hamna. Aiiiiii kimoyo moyo nikasema ulikuwa unaniweka mchezaji wa akiba kwanza atumie na huyo halafu ndo badae aje kwangu, na hamu ikakata zaidi
hatq katika maisha ya kawaida kuna alternatives au plan b na kwengineko hata plan C na DNikakutana na huyu binti bana, moyo ukamdondokea kijana nikajitahidi nikatoa la moyoni. Kwa wakati huo alikuwa anasoma akanambia hawezi kuingia kwenye mahusiano akiwa bado mwanafunzi. Mtu mzima nikahisi kibuti cha mbali mbali ila kama kawa mabinti wa kiafrika nawajua nikasema nitajaribu tena. Nikajaribu kama mara mbili tena akatosa, nikaanza zangu mbele kwa kujifariji kuwa huwa yanawakuta wanaume.
Hee siku zimeenda kaanza kuniandama, nikajifanya zoba nikawa karibu nae, kipindi baada ya kugundua sasa ni kama kusukuma mlevi nikamuuliza mbona ulikuwa unanitenda vile kipindi kile, akadai alikuwa na mtu. Nikasema mbona usinambie ukweli badala yake ukasingizia unasoma, jibu hamna. Aiiiiii kimoyo moyo nikasema ulikuwa unaniweka mchezaji wa akiba kwanza atumie na huyo halafu ndo badae aje kwangu, na hamu ikakata zaidi
Naamini iko hivyo mkuu, wahenga walisema kibaya kwako kizuri kwa mwingine