Kumbe Rais Samia anaogopa sana wanachama kurudisha kadi za chama!

wababayangu

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
814
1,105
Rais Samia amemtumbua DC pamoja na DED Mtwara kwa sababu wana Mtwara wamechukizwa na matendo mabovu ya CCM na kuamua kujiengua na chama hicho.

Hii ina tafsili kwamba Rais Samia anaogopa sana kuondokewa na wapiga kura wake.

Hivyo kwa masuala yanayowakwaza wananchi kama bandari, kikokotoo na mfumuko wa bei hakuna haja ya kupiga kelele kwenye vyombo vya habari wala kuandamana, bali suluhisho ni kurudisha kadi za chama na kwa vyama vya upinzani nunueni kadi nyingi za CCM kisha zirejesheni CCM, Rais atatekeleza maombi yenu yote!
 
Wafanyakazi try that!
 
Back
Top Bottom